jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa

    Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya. Ajali hiyo imetokea baada ya lori la mizigo kufeli breki na kugonga magari mawili...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
  3. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wakikamata Raia wanawatupa kwenye mapori hatarishi badala ya kuwapeleka vituoni?

    Kuna tabia ya ajabu sana imezuka sasa hivi kwa jeshi letu la polisi. Sio mara moja tumesikia mtu ametupwa kwenye mapori, na wengine wametupwa kwenye mapori yenye wanyama wakali. Nani asiye na weledi kiasi hiki anaye waagiza police kufanya hayo. Tumemsikia satifa aliye tupwa kwenye hifadhi ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

    Salaam! Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia. Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

    Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Samia hana kosa hata moja, Muliro hana kosa, IGP hana kosa. Kosa liko vichwani mwa Watanganyika

    Muliro ameshasema yeye anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika, IGP pia anasimamia mulichokubaliana ninyi wenyewe Watanganyika. Yaani wanasimamia sheria zenu mlizozitunga. Ziwe mbaya, ziwe nzuri hilo haliwahusu. Jukumu lao ni kuzisimamia. Watanganyika ndio mliotunga sheria ya...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Askofu Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi

    Wakuu, Msaidizi wa Askofu wa Gwajima anayejulikana kama Sister Alinda anadaiwa kukamatwa na Polisi
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Jeshi la Polisi limewachukua 'Watu kadhaa' katika Kanisa la Askofu Gwajima

    Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amesema Jeshi la Polisi linawashikilia Watu kadhaa kutoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Ubungo kutokana na kile alichoeleza kuwa walikuwa wakizuia Jeshi hilo kutekeleza majukumu yake. Wakati tukielekeza nini cha...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Jeshi la Polisi au Vikundi vya Wahuni?

    https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji. Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanafanana Elimu zao, Mbunge Mariam aliyeshauri Jeshi la Polisi Limpe kipigo Martha Karua apumulie Oksijeni ,naye Kaisha Form Four ya kuunga unga

    Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??. Mnadhan...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT, Isihaka Mchinjita akamatwa na Polisi kwa kutembelea na kukagua Kituo cha Mwendokasi Kimara Mwisho

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo. Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  16. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnisaidie hii Tafakuru Jadilifu kwa Jeshi la Polisi.. Tujadiliane..

    Heshima Mbele Kwa Wote.. Pamoja na Kua Nalipongeza Sana Jeshi Letu La Polisi Katika Nyanja Nzima Ya Ulinzi Wa Raia Na Mali Zao, Kwa Kuzingatia Kwamba Kipindi Hiki Hakuna Matukio Makubwa Ya Kihalifu (Sijagusia Utekaji) Kama Miaka Ya Nyuma, Mfano Wizi Na Ujambazi, Kuna Hili Swala Hua Linaniumiza...
  17. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?

    Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

    Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !! Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wachache msio na akili msigeuze vijana wetu walio jiunga na jeshi la polisi kwaajili ya kulinda ndugu zao kuwa wahalifu

    Vijana wetu walijiunga na jeshi la polisi kwaajili ya kuwatumikia watanzania ambao ni ndugu zao na sio raisi wala mkuu wa majeshi pekee kwani hawa ni sehemu ndogo tu ya Tanzania, nchi ni zaidi ya raisi. Tusitumie vyeo tulivyo navyo kwa muda kuwatumia vijana wetu kufanya uhalifu kwa sababu ya...
Back
Top Bottom