Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi.
Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa.
Kuna kijana amepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Hifadhi ya Msitu Kigosi ambayo inasimamiwa...
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi.
Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
Wakuu tufuatilie hii live inaendelea sasa Mgeni Rasmi akiwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango
https://www.youtube.com/live/Gt5cxeNI90U?si=IYfVYZ27diQ2bosr
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura:
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini.
Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
Watuhumiwa watano (5) kati ya saba (7) wakamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumvamia na kumpora raia wa kigeni ambaye mpaka sasa haijajulikana ni raia wa nchi gani.
Tukio lilitokea wiki iliyopita eneo la Banda la ngozi barabara ya Nyerere road karibu na Lifemate Funiture, raia huyo wa kigeni...
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
barabara
gwajima
jeshijeshilapolisi
kulinda
maji
makazi
mali
polisi
raia
uchimbaji
ujenzi
ujenzi wa barabara
usalama
usalama wa raia
visima
visima vya maji
wajibu
Sasa hivi ni kawaida kukuta habari mtandaoni za makamanda wa polisi wakiongea na vyombo vya habari kuwa wamekamata mtu aliyefanya kosa la jinai kama vile mauaji, ubakaji, ulawiti n.k
Habari kama hizi hazina afya kwa jamii sababu akili ya binadamu ni kama shamba lenye rutuba ambalo unaweza...
askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshijeshilapolisi
katiba
katiba mpya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
Jeshi la polisi nchini limesema linamshikilia Leonard Josephat Magere,kutokana na tuhuma za jinai zinazomkabili na anaendelea kushikiliwa kwa mahojiano ili kukamilisha Ushahidi ambao ulishakusanywa.
Soma Pia: Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza...
Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!.
Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU .
Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa na Idadi kubwa ya Waislam, Akiwachochea Kufa Kwa ajili ya kulinda Kura, Ni majuzi tu kanukuliwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
Assalam alaykum
Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana
CCM wanadhani kuwa mabadiliko yanaletwa na watu kuingia barabarani na kupambana na askari wao Hali hii inawaganya kuwa weka askari...
Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo ya Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, kufuatia taarifa za uwepo wa hatari ya vurugu baada ya ibada.
Hatua hiyo imekuja baada ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne, kueleza kuwa kumekuwa na taarifa za baadhi ya...
Wakuu!
Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.