jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. curie

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lina double standards za wazi kabisa

    Kwa chadema kuongea na wananchi pale kariakoo ilikuwa nikukwamisha shughuri za kibiashara japo ilikuwa mkutuno hauzidi Nusu saa . Ila timu inafanya parade zaidi ya sa 3 na kufunga barabara kariakoo sio inshu kabisa kwenu .. Doubla standards za hovo kabisa
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sheikh Nkokoo kujiteka: Taasisi ya The Islamic Foundation nayo yathibitisha alikuwa anakwepa madeni, yalipongeza jeshi la polisi

    Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka. Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

    Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Polisi Mwanza yamsaka mwanamke aliyetambuliwa kwa jina moja la Mgore umri miaka 25 na mkazi kirumba kwa mauaji ya mumewe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa Ibanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma za mauaji ya mume wake aitwaye Amosi Faustine Paulo, miaka 31, dereva wa pikipiki na mkazi wa...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

    Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara. Soma pia: Leo ni hukumu ya Polisi 7 wanaotuhumiwa kumuua...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia posts zao ninalipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata WACHOKONOZI

    Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na taarifa ya jeshi la polisi kwamba watekaji sio wao

    Jeshi la polisi linasema watu wanajiteka, sijui wivu wa mapenzi, ushirikina, na madeni. Hebu tuchambue baadhi ya matukio ya utekaji yalivyokuwa, Kwa mfano utekaji wa kiongozi wa CHADEMA aliye shushwa kwenye basi na kukutwa ameuwawa yule alishushwa kwenye basi na kundi la watu kadhaa...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeanza kufanyia kazi kisiasa tuhuma za utekaji ambazo zilikuwa ni kilio cha watanzania wengi akiwemo gwajima

    Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liache mara Moja kuwafanya Watanzania Wajinga, Kama ni hizi sababu zenu, Kwanini hamuwakamati hao Watekaji na Wauaji?

    Inatia sana Hasira kuona Chombo Cha Dola ambacho kinawajibika kuhakikisha Usalama wa Raia, kinakua Cha kwanza Kutafuta sababu za kipuuzi kabisa na ambazo ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuzikubali kuhalalisha Utekaji ,na Mauaji ya Raia Nchini. Padre KITIMA nusura auwawe, kwamba ni wivu wa...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

    Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi. Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kuzuia waandishi/vyombo vya habari kutekeleza majukumu yao Mkutano wa CHADEMA, Seashells Millennium ni kukandamiza sauti za upinzani

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania, hali ya kisiasa imeendelea kuwa ya mashaka, hasa kwa upande wa vyama vya upinzani. Tukio la Jeshi la Polisi kuzingira hoteli ya Seashells Millennium, Dar na kuwaamuru waandishi wa habari kuondoka kwenye mkutano wa CHADEMA, limeibua...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nyie Jeshi la Polisi, Weledi ni kutanguliza Akili mbele sio Nguvu , Anayedaiwa Kujifanya OCS , ni wapi alisema yeye ni OCS kwenye hii Video?

    Video inaonyesha, HECHE anaingia Ndani ya Kituo . Baadae nje, video inaonyesha HECHE akiongea na Mtu mwenye Uchungu . Kwahiyo Walipoingia Ndani ya Kituo hawakuongea naye, kwamba hawakumkuta, wakaja nje ,wakati wakuondoka ndio Sasa wakaonana naye nje? Hivi hili Jeshi la Wapi hili?? Alafu nao...
  16. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kuisimamisha taasisi kama CHADEMA kutofanya shughuli zake ni kama kulizuia jeshi la polisi kutokufanya kazi – ni maamuzi yasiyo na mantiki kisheria

    Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa kushiriki shughuli za kisiasa, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kujiunga na vyama. Katika andiko hili...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

    Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani. Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana

    Wakuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana. Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025

    Rais Samia akishiriki Sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Juni 9, 2025 ===================================== Akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa mgeni rasm katika sherehe a kufunga mafunzo ya maofisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi, Waziri wa Mambo ya...
Back
Top Bottom