jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi waanza uchunguzi video ya tukio la mtoto akipigwa na kudaiwa kuuawa kikatili kwa tuhuma za kuiba Parachichi

    Jeshi la Polisi limeshapata taarifa ya picha mjongeo iliyopo kushoto mwa taarifa hii inayosambaa katika mitandao ya kijamii na ufuatiliaji wa haraka na wa kina umeshaanza. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ambaye ndiyo anasimamia msako na ufuatiliaji huo atatoa taarifa kamili muda si mrefu...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa sheria CHADEMA: Jeshi La Polisi wamezuia dhamana ya Lucy Shayo

    Wakili Gaston Shundo Garubindi Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu: "Baada ya kukamilisha mahojiano kuhusu kosa la Kusambaza taarifa za uongo, Jeshi la Polisi wakasema wanakamilisha utaratibu wao lakini tumesubiri mpaka sasa usiku, mteja wetu hawajampatia dhamana"
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Shinyanga linadaiwa kuwakamata viongozi wa CHADEMA waliokuwa wakifanya usafi kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge. Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kituo cha ukenyenge ni hawa wafuatao; 1. Jackson Mnyawami Mnyawami Katibu wa kanda ya serengeti 2...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia NRA aahidi kulibadili jina Jeshi la polisi, kuwa Police service

    Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas, amesema ndani ya siku thelethini baada ya kupewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atafanya maboresho makubwa kwenye sekta mbalimbali hapa nchini ikiwa ni pamoja na...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Jeshi la Polisi Liache Kutumika Kisiasa, Katibu wa Jimbo la Kiwani Akamatwa

    TAARIFA KWA UMMMA "Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa" Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu. ACT Wazalendo, tunalalamika...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Polisi linahitaji mabadiliko ili liwe la kisasa zaidi

    Siku hizi naambiwa ni Bora ukutane na jambazi akishakupora atakuacha salama kuliko ukutane na Polisi Ukishawapa tu hela, wanakufunga pingu, wanakupeleka kwako ukawape hela nyingi zaidi, na wakizikosa wanakubambikizia kesi ya kukuta na bunduki. Jeshi hili linatakiwa mabadiliko kuanzia kwenye...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi Waogopa Kumchukulia Hatua Diamond Platnumz kwa Kutukana Hadharani

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA na Jeshi la Polisi kwapamoja wameogopa kabisa kumchukulia hatua ndugu Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz baada ya video yake ya matusi ya nguoni kusambaa. Katika video hiyo, Staa huyo wa muziki amewatukana akina mama wote wa Tanzania ambao vijana wao...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi Arusha limchukulie hatua Askari huyu aliyempora Mwandishi kamera akiwa kazini

    Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa siku 60 kwa wamiliki wenye silaha haramu kuzisalimisha

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza msamaha wa miezi miwili kwa wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria, ambapo watalindwa dhidi ya mashitaka endapo watasalimisha silaha hizo kwa hiari kuanzia Septemba 1 hadi Oktoba 31, 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 1, 2025 na...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa msiojua pesa alizopiga Anjela kwa jeshi la polisi ni hii issue msikilize tena Magufuli hapa

    Aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5 Hayati John Pombe Magufuli alizungumzia sakata la unform za jeshi la polisi ambapo kuna mtu amelipwa mabilioni ya pesa kwaajili ya uniform za polisi na hakuna hata uniform moja ilikabidhiwa kwa jeshi la polisi. Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ushahidi mwingine uliotokea kwa ukamataji wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kaskazini jeshi la polisi linajitengaje na utekaji wa raia?

    Hivi polisi wanatuchukulia wajinga,kwa nini umkamate mtu kwa kumteka tena ukichukulia ni kiongozi. Walishindwa kumpigia simu aende kituoni, au walishindwa kumfwata ofisini kwake, au nyumbani kwake, mimi naaminini bila kelele za wananchi kwa kushikikiana na mitandao ya kijamii huyu alishapotea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, nisikilize hapa kidogo, walinzi wetu na mali zetu

    Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie. Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zanzibar : Jeshi la Polisi tumejipanga kuhakikisha amani na usalama kipindi cha kampeni na Uchaguzi Mkuu 2025

    Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote na kwamba wananchi wanaitumia haki hiyo ya kikatiba kuwachagua viongozi wanaowataka. Uchaguzi Mkuu...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Hatutasita kumchukulia hatua atakayeenda kinyume kwenye kampeni

    “Kamwe asiwepo mmoja wetu akawa chanzo cha kukiuka sheria, kanuni na taratibu wakati wote wa kampeni na baada ya kampeni ili kuepuka vurugu au uhalifu wa aina yeyote ile kutokea.” Hiyo ni kauli ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyotolewa kupitia msemaji wake, David Misime leo Jumatano Agosti 27...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameweza kuimarisha jeshi la polisi kwa kuboresha miondombinu ya kazi.

    Amejenga vituo vya polisi 472 vya kata na kuboresha makazi ya askari. Na kutoa magari mapya ya polisi ili kurahisisha utendaji wa majukumu
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP Misime: Tutatumia polisi jamii katika kubaini uhalifu kipindi cha uchaguzi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa Jeshi la Polisi litashirikiana na polisi jamii kubaini viashiria vyovyote vya uhalifu na vyanzo vya kuvuruga amani wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa 2025 ili kuweza kuchukua hatua za kisheria kwa wale watakaovuruga amani...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Jukumu la Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu. Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na ushahidi wa kwenda kutihibitisha

    Wakuu, Akiwa anaongea leo kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kuwa kazi ya Jeshi La Polisi ni kuzuia uhalifu na machafuko na sio kusubiri yakishatokea ndio wafanyie kazi Amesema "Huwezi ukasubiri tukio likamilike ili niwe na...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunasikitishwa na Jeshi La Polisi kuwakamata wanachama 10 bila ya kuwapatia haki ya kuonana na mawakili wao

    CHADEMA imelaani kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kuwashikilia wanachama wake 10 waliokamatwa Kibaha bila dhamana na bila kupewa nafasi ya kuonana na ndugu zao. Chama kimesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na Katiba, kikitoa wito kwa Polisi kuwapatia wanachama hao haki za msingi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu, "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini "Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua " Misime ameyazungumza hayo kwenye Mkutano wa Wadau wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
Back
Top Bottom