jengo

  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waliozima taa za jengo la kanisa, walikuwa na mpango gani na sadaka za waumini?

    Hello! Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa? Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa! Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni? Haya!
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wadai fidia TSh. bilioni 40 jengo kuporomoka

    Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo. Kesi hiyo...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Naomba leo nikufundishe umuhimu wa expansion joint kwenye jengo la gholofa

    Expansion joint ni sehemu muhimu katika ujenzi wa ghorofa kwani husaidia kupunguza athari za mabadiliko ya joto, mtikisiko wa ardhi, na upanuzi wa vifaa vya ujenzi. Hapa kuna umuhimu wake: 1. Kuzuia Nyufa na Uharibifu wa Muundo - Ghorofa hupitia mabadiliko ya joto ambayo husababisha upanuzi na...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  7. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Je, Mbowe ataipora Chadema jengo lake la makao makuu Mikocheni?

    Mbowe amemaanisha yupo serious kwenye vita yake na Chadema, kuwapora wanachama na viongozi kadhaa, kuifungulia kesi kwa msajili was vyama na kuna kesi nyingine pia imefunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wake upande wa Zanzibar Je Mbowe atatumia mbinu gani (akisaidiwa na dola) kuipora...
  8. Doctor MD

    JamiiForums Tanzania Kama una jengo lenye sifa za kuwa kituo cha afya au hospital karibu tufanye biashara

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo 1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi 2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  10. Royal Son

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ngazi za jengo jipya hapa Msimbazi zamani DDC zimejengwa hadi eneo la watembea kwa miguu

    Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
  12. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania KARIBU TANZANIA,KARIBU KIJITONYAMA, NAKULETEA KIWANJA CHENYE JENGO LA GHOROFA KINAUZWA KIJITONYAMA,BEI NI 850M

    Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood, ■One incomplete building ■Area size 1500sqmt ■Price 850m tsh Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  13. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania JENGO LENYE JUMLA YA VYUMBA 19 LINAUZWA,LIPO BUSWELU MWANZATANZANIA, 0758844717

    KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO DOCUMENTS NI TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  14. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania JENGO LENYE VYUMBA 19 LINAUZWA,LIPO BUSWELU MWANZA,YA KUANZIA NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO,🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

    KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO DOCUMENTS NI TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Jengo lenye vyumba 19 vya kulala linauzwa, lipo Mwanza Buswelu, bei ni million 900 maongezi yapo

    KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI LIPO BUSWELU-MWANZA LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO DOCUMENTS NI TITLE DEED 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  16. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

    Heri ya pasaka. Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka. Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
  17. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Shambulio katika jengo la idara fulani kugharimu maisha hasa watoto.

    Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa kwa uzembe, na ikumbukwe kua kabla ya tukio siku chache nyuma katika idara hii kulifanyika mabadiliko...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  19. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hivi Walishalimaliza lile Jengo?

    Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR... "Kipande hiki kimeanza" "Kipande hiki ni asilimia 70" "Wakazi wa Kigoma mwisho wa reli wakae mkao wa kula"...
  20. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania House4Rent Jengo kwa ajili ya matumuzi ya ofisi

    Jengo kwa ajili ya matumizi ya ofisi linapangishwa Mbeya mjini. Ni jengo zuri na la kisasa. Kodi laki 7 kwa mwezi mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Back
Top Bottom