jengo

  1. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imesababisha mlipuko mkubwa umetokea kwenye jengo la mahakama georgia Marekani

  2. Pfizer

    Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  3. Pfizer

    Doris aelezea Doris Mollel Foundation ilivyofanikiwa ujenzi wa jengo la Bilioni 2

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel , Doris Mollel amesema jengo la kuhudumia Watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Watoto njiti) lililojengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza, ni jengo lenye ubunifu na viwango vya Kimataifa ikiwemo uwepo wa wodi ya kwanza ya mfano...
  4. Roving Journalist

    Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia aidhinisha fedha za ujenzi wa jengo la ICU Handeni Mkoani Tanga

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
  6. Sifi Leo

    UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  7. X

    Nini kinaendelea ndani ya jengo la China Plaza?

    Hivi karibuni hili jengo limekuwa gumzo sana hapo Dar Nini kinaendelea humo nasikia majanja na mawinga wa Kariakoo huwaambii kitu na huo mjengo inapohusu kutoboa kibiashara Mara kuna habari wafanyabiashara nje ya China Plaza wamepigwa Huku wengine wanapigwa wengine wanafanikiwa kwa njia...
  8. Fbn

    Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  9. Chibike

    Ila ndugu zetu serikali muangalie jamani, muwajengee DAWASA jengo la bilioni 48, ila wananchi wa Dar wachote maji kwenye madimbwi kweli?

    Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
  10. R

    Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
  11. T

    Banksy: Leo amechora kwenye jengo la mahakamani

    Huyu jamaa ni kama mzuka Mkiamka mnakuta picha imechorwa inatafsiri mwenendo wa nchi Jana usiku allikuwa mahakamani kama kazi, walinzi wanaamka wanakuta mchoro... Naona huu ujumbe leo unatuhusu, japo picha imechorwa London, UK
  12. JanguKamaJangu

    Kuna Jengo limeshika moto Mitaa ya Aggrey na Sikukuu - Kariakoo muda huu (Agosti 31, 2025)

    Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.
  13. Sifi Leo

    Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  14. Dalali_wa_kimataifa

    Jengo linauzwa, mali ipo Dodoma kisasa, bei ni billion 1.2 pesa ya Tanzania

    #realestatetanzania GHOROFA LA KISHUA LINAUZWA. LOCATION: KISASA MUUNDO( 16 SELF CONTAINED ROOMS) AREA:1200 MSQ PRICE:1.2 BIL 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. Boveta

    Wakili Mashaka Ngole aibwaga ACT Wazalendo Mahakamani, akiwakilisha Chama cha Cuf katika kurudisha jengo la ofisi lililoporwa huko Kilwa.

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE). Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
  16. The Zanzibar Echo

    Vita nchini Ukraine: Droni yapiga jengo la orofa nyingi Odessa

    Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
  17. City Thunder OKC

    CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

    Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye...
  18. Allen Kilewella

    Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  19. R

    Waliozima taa za jengo la kanisa, walikuwa na mpango gani na sadaka za waumini?

    Hello! Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa? Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa! Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni? Haya!
  20. Mstahiki Mea

    Kodi ya jengo kuondolewa kwenye luku

Back
Top Bottom