jeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

    Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa. Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya.... 1-PTSD 2-BDD magonjwa...
  2. Mwanamke aamka kwenye Jeneza muda mfupi kabla ya kuzikwa

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina Bella Montoya (76) kutoka Ecuador amewaacha watu kwenye mshangao baada ya kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye Jeneza wakati ndugu walipotaka kumvalisha mavazi maalumu ya mazishi. Kwa mujibu taarifa ya Wizara ya Afya, mwanamke huyo alipata tatizo la Mshtuko...
  3. Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  4. B

    Simba kwenda na jeneza siku ya Simba day imetulaani

    Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu. Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao Kuondoa wachezaji...
  5. Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?
  6. Kaburi la Mtoto lafukuliwa, mwili na Jeneza vyaibwa

    WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
  7. Kenya: Waandamanaji Kisumu wabeba masufuria na mfano wa jeneza

    Baadhi ya wafuasi wa Azimio wameshiriki katika maandamano yaliyofanyika katika Mji wa Kisumu wakipinga gharama ya maisha kuwa juu na kushinikiza Serikali ya Rais William Ruto kuchukua hatua. Baadhi yao wakiwa wakiwa na masufuria, miko mabango yaliyoandikwa ‘Njaaaa!’ huku wakisikika wakiimba...
  8. Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

    Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
  9. Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

  10. Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
  11. L

    Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  12. Ni sahihi kujinunulia majeneza na kujijengea kaburi?

    Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango. Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
  13. Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  14. Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

    Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
  15. S

    Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  16. Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
  17. Lady Jaydee ajichagulia jeneza la pili

    Picha ya Mwanamziki Lady Jaydee Uchuro? Baada ya kutundika mtandaoni kwa mara nyingine picha za jeneza alilojiandalia litakalotumika siku akiaga dunia, mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee au Jide, amelaaniwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho. Abadili rangi Mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…