𝗟𝗜𝗦𝗦𝗨 𝗡𝗜 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗔𝗕𝗔𝗞𝗜 𝗝𝗘𝗟𝗔 𝗧𝗨
𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗘𝗥𝗜𝗗𝗛𝗜𝗔.
Huyu ni mwalimu wa sheria na anafundisha sheria huko mahakamani na anawafundisha sheria akina Katuga.
Kwa hiyo aendelee kukaa jela tu mbona muda bado mrefu tu anao wa kutoa shule ya sheria! Sasa Mandela wa Ikungi anachoka mapema hivi? Yaani siku...