jela

Jela is a Slavic female given name. Notable people with this name include:

Jela Cello (born 1987), Serbian cellist
Jela Krečič (born 1979), Slovenian writer and journalist
Jela Spiridonović-Savić (1890–1974), Serbian poet
Jela Špitková (born 1947), Slovak/Austrian violinist

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania R. Kelly achunguzwa akidaiwa kumiliki Namba ya zamani ya Mkuu wa Gereza ndani ya jela

    R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B aliyeporomoka sifa anatumikia vifungo virefu vya shirikisho baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu wa...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watala wengi hapa Afrika ni madikteta. Wanatumia jela kukandamiza wapinzani.

    Zamani nilidhania dikteta mpaka awe kama alivyokuwq Nduli Amini. Kumbe hata leo hii madikteta wapo hapa Afrika
  3. Chigurh

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Jela Tanzania

    Habari zenu Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk ila hua siskii sana story za maisha ya Jela Tanzania. Story halisi za watu walio-onja maisha ya jela kwa muda mfupi au miaka. Iwapo una...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania FAHAMU: Jela Hakuna Pesa Taslimu wala Simu

    Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania nawaambia gerezani pesa taslim, Simu haziruhusiwi lakini pia kama mtu anaumwa serious uko utaratibu...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa

    Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu hawatakuwa wastaafu kwa mauwaji waliyo yafanya ni wahalifu na magaidi hatutawaacha.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Samuya na Lissu wote wako gerezani

    Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi. Samuya yuko gereza la kukataliwa na...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  8. R

    JamiiForums Tanzania ICC yamhukumu Kiongozi wa Janjaweed Mohamed Rahaman miaka 20 jela kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu Darfur

    Jitu limeua watu kibao, leo eti kifungo miaka 20. Huu ni utani! Ilibidi anyongwe maana ameua wanadamu wengi Darfur! Kwahiyo na huyu wa kule Visiwa vya Indonesia atahukumiwa miaka 20 na mauaji ya zaidi ya watu 10,000 aliowaua majumbani!!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Zambia ahukumiwa jela miezi 18 kwa kumtukana Rais

    Ethel Chisono Edwards, anayefahamika mtandaoni kama One Boss Lady, amehukumiwa na mahakama ya Lusaka baada ya kukiri kosa la kuchapisha maneno ya kumdhalilisha Rais Hakainde Hichilema. Hukumu yake imekuja licha ya hatua ya rais huyo mwaka 2021 kufuta sheria ya makosa ya kumkashifu rais —...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  11. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ualimu ndo kada ambayo waajiriwa wake akipata kesi na kuhukumiwa miaka 3 jela au faini 3m asilimia 90 wataenda jela

    Walimu mpo!!! Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa bodaboda, mpesa uchwara, duka njaa, upishi kweny sherehe uswahiln na semina, tuishen na kuuza ubuyu na...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nyundo na wenzake wahukumiwa maisha jela

    Nyundo na wenzake wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka kwa kundi huku Mahakama ikiondoa kosa la kulawiti kwa kundi kwa sababu kifungu kilichopo kwenye sheria hakitambui kosa la kubaka kundi badala yake kinatambua mtu mmoja kulawiti. Ikumbukwe kuwa warufani hao walishtakiwa...
  14. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu wawili wahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti msichana

    Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga. Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Brazil Ahukumiwa miaka 27 jela

    Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Luth Jacob (umri Miaka 50) ahukumiwa Miaka 30 jela kwa kumbaka Mtoto wa Darasa la Tano

    Mahakama ya Wilaya ya Maswa imemhukumu Luth Jacob, mwenye umri wa miaka 50 na mkazi wa Kijiji cha Mwanundi, Kata ya Sengwa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi 300,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 15. Katika kesi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nijue kama muda alokaa Lissu jela umeshafikia ule aliokaa Mbowe halafu nitasema kitu

    Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
  18. O

    JamiiForums Tanzania Akili Yangu Inaniambia Yule alieko Jela anaenda Kuachiwa Hivi Karibun Ili Kuzima Aya magumu Aliyoyaongea Bw. Slowslow!

    Naam! nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza! Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

    Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma. Bwana Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

    Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo. Jen haamini macho yake 🤣...
Back
Top Bottom