Baada ya kukaa mahabusu kwa siku 1,324, hatimaye Mkurugenzi wa Kampuni ya Jatu Public Limited Company (PLC), Peter Gesaya, ameachiwa huru katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Gesaya na wenzake wanne, Nicholaus Fuime, Esther Kiya, Mariam...