Katika historia ya ujasusi wa kimataifa, kuna sura ambazo hazikuwahi kuvalia sare za kijeshi wala kuwa na vitambulisho rasmi, lakini walikuwa silaha kubwa katika operesheni za kificho. Mmoja wao ni Meyer Lansky, kamaria mmoja hatari na mfanyabiashara wa kamari haramu, mafia hatari, na kiungo...