Serikali kupitia Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, inatarajia kuzindua rasmi Jukwaa la Vijana (Youth Platform) tarehe Januari 10, 2025, katika Ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo utaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka, ambapo jukwaa hilo litatoa...