januari

Melipotis januaris, the January melipotis moth, is a species of moth in the family Erebidae. It was first described by Achille Guenée in 1852. The species has a wide range in the New World and has been recorded from Saint Kitts, Montserrat, Dominica, Saint Lucia, Saint Vincent, Grenada, the Greater Antilles, Florida and from Mexico to Paraguay.The wingspan is about 35 mm. It is a highly variable species. Some specimens show a strongly contrasting pattern whilst others are more uniform.
The larvae feed on Inga laurina.

View More On Wikipedia.org
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna member Januari 1 atakuja na uzi wa alivyokula bata kwenye mkesha. Huo uzi utapata comments 300

    Mimi sio nabii ila tarehe 1 jan 2026, "daughter of long time" atakuja na uzi wa namna alikula bata kwenye mkesha na bwana wake na utapata comments 300 secretarybird Mjusi Sharobalo Vincenzo Jr Red black Mtashuhudia 😂😂 mambo ya "mkombozi wa chaputa"
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Wizara zinaonesha kati ya Januari - Julai 2025 Wageni waliotembela Tanzania ni Watu Milioni 1.27

    Kwenye nchi yenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hadi nyasi za hifadhi ya Serengeti mpaka kwenye fukwe za Zanzibar – Tanzania, hizi ni takwimu za Wageni waliotembela Tanzania ndani ya kipindi cha Januari 2025 hadi Julai 2025 ambapo jumla yao ni Watu Milioni 1.27, takwimu hizi ni kwa mujibu wa...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda

    Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
  4. A Father

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Januari 20 mpaka Februari 18

    Kwenye kujenga mahusiano ya hiari na urafiki wa hiari, kama umezaliwa kwenye tarehe zinazoanzia Januari 20 mpaka Februari 18, wazingatie zaidi waliozaliwa kwenye tarehe zifuatazo mwishoni - zinazoanzia March 21-31 - zinazoanzia May 21-31 - zinazoanzia July 23-31 - zinazoanzia September 23-30...
  5. chongoe

    JamiiForums Tanzania Nimeota uchaguzi umesogezwa mpaka januari

    Alafu pia nimeota tembo mkubwa ameanguka nija panda na kufariki hebu nifafanulieni wajuzi wa ndoto
  6. J

    JamiiForums Tanzania TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 .

    TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 . Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 7.43. Kwa mujibu wa taarifa...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025. https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 31, 2025

  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 30, 2025

  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 27, 2025

  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 26, 2025

  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali anazungumza na Wanahabari kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, leo Januari 25, 2025

    https://www.youtube.com/live/P1Wh1QZrawc Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali atakuwa akiongea na Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma kutoa Taarifa ya Serikali kwa Wanainchi Kupitia vyombo vya Habari .
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

    Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku. Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 25, 2025

  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 24, 2025

  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 23, 2025

Back
Top Bottom