januari

Melipotis januaris, the January melipotis moth, is a species of moth in the family Erebidae. It was first described by Achille Guenée in 1852. The species has a wide range in the New World and has been recorded from Saint Kitts, Montserrat, Dominica, Saint Lucia, Saint Vincent, Grenada, the Greater Antilles, Florida and from Mexico to Paraguay.The wingspan is about 35 mm. It is a highly variable species. Some specimens show a strongly contrasting pattern whilst others are more uniform.
The larvae feed on Inga laurina.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

    Once in a life time! Watazamaji na mashabiki wa anga wanatazamiwa kupata burudani ya kipekee ya angani kwani sayari sita - Mihiri, Jupita, Venus, Zohali, Neptune, na Uranus - zote zitaonekana angani usiku. Bila shaka, utaweza pia kuona tukio hili usiku wa leo, kwani sayari zitakuwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 25, 2025

  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 24, 2025

  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 23, 2025

  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa Amri alizosign Trump Januari 20, 2025

    Miongoni mwa Amri Zilizotolewa na Trump Jana Katika Uapisho Wake 1. Kusitisha Ajira Mpya (Hiring Freeze) Trump alitoa amri ya muda ya kusitisha ajira mpya serikalini hadi utawala wake utakapoanza kufanya kazi kikamilifu. Aidha, ndani ya siku 90 kuanzia tarehe ya kutolewa kwa amri hiyo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya mateka 33 wa Israel watakaoachiwa huru na magaidi ya hamas kuanzia Jumapili Januari 19, 2025

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya majina hapo chini, tafadhali mtaarifu mwenzako Mungu ibariki Israel Sabato njema Romi Gonen, 23 Emily Damari, 27 Arbel Yehud, 29 Doron Steinbrecher, 31 Ariel Bibas, 5 Kfir Bibas, 2 Shiri Silberman Bibas, 33 Liri Albag, 19 Karina Ariev, 20 Agam Berger...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 15, 2025

  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 13, 2025

  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti leo Januari 11, 2024

  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti leo Januari 10, 2025

  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti leo Januari 09, 2025

  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mkutano mkuu wa chama hicho utafanyika kati ya Januari 18 na 19, 2025 jijini Dodoma. Katika mkutano huo utakaoongozwa na mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan kutafanyika uchaguzi wa makamu...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti ya leo Januari 07, 2025

  16. The introvert

    JamiiForums Tanzania Soma kurasa za mbele za magazeti ya leo Januari 6,2025

    Cc: SwahiliTimes 𝗡𝗯 : 𝗪𝗲𝘄𝗲 𝗻𝗶 𝗠𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶 𝗺𝘀𝗼𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗴𝗮𝘇𝗲𝘁𝗶 𝗹𝗶𝗽𝗶?
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Inayojengwa kwa Nguvu za Wanakijiji Kufunguliwa Mwezi Huu, Januari 2025

    SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025) Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
Back
Top Bottom