janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  4. Aelknes

    JamiiForums Tanzania Uchawa ni janga linalotupelekea sehemu mbaya zaidi

    Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye jambo la kijinga wakijua kuna mahali watapata favour Ama ukijiona unataka kufanya jambo unalojua...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kuwa Askari polisi namsaidiaje kufuta fikra hizo?

    Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti. Akikutana na wenzake anataka wacheze kipolisi yeye awe askari polisi, siku nyingine anaigiza kuongoza magari na kuongoza wanafunzi kuvuka...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nawashauri wahanga wa janga la Kariakoo waishitaki serikali badala ya kupongeza

    Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria." Ni kwa mujibu wa sheria tu uhai wa mtanzania unaweza...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

    Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na walinzi sehemu ya kusubiria muda wa kuingia kuona wagonjwa. Nikiwa eneo hilo nilipata kusikia mawili...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wameshaanza sasa ku-profitize na janga la Kariakoo

  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii michango inayochangishwa na watu binafsi kwa ajili ya janga la Karikoo ifuatiliwe

    Kiukweli nimejaribu kutafakari ili kujiridhisha kuhusu michango inayochangishwa na baadhi ya watu maarufu kuhusu janga la Kariakoo ila naona ni kama utapeli. Ikumbukwe kwa ishu ya Kariakoo tayari serikali iko pale na kusimamia kila kitu kwa 100% huku taasisi kubwa nyeti nchini zikiwa kwa karibu...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

    1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu? 2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

    Habarii ndugu zangu Watanzania??, Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,, UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
  15. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

    Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi. Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Kupindukia, Ubakaji na Ulawiti ni Janga Kubwa kwa sasa Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi James Khaji kasema anaomba Viongozi wa Dini wauombee Mkoa wa Kilimanjaro kutokana na sasa kukumbwa na Janga Kubwa la Wanaume kuwa Walevi wa Kupindukia, Kubaka na Kulawiti. Chanzo: TBC1 Asubuhi ya Leo. Mashemeji zangu Wachagga mmekumbwa na nini tena Siku hizi? Na nyie...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa post zikihusisha CHADEMA kwenye utekaji ni kiashiria kuwa inaandaliwa kesi. Kaeni chonjo

    Mengi niliyoyaweka hapa jukwaani yamejjri na wala sijisifu kwa hilo, kwa sababu huwa nazama kwenye maombi yasitokee lakini kwa utawala huu nimegundua Mungu hajibu maombi yangu yote. Pia soma: Kuelekea 2025 - Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao...
  18. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
  19. W

    JamiiForums Tanzania WHO: Mlipuko wa Ugonjwa wa Mpox ni janga la Kiafya la Kimataifa

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati ya dharura ya shirika hilo Agosti 14, 2024. Kwa mara ya pili tangu mwaka 2022, ugonjwa umetangazwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Haya matamasha ya kikabila ni janga la Taifa: sasa hivi Wanyakyusa wako ITV

    Hivi vinavyoitwa matamasha ya kikabila yanayojitokeza kwa kasi siku hizi havina afya ktk kujenga umoja wa kitaifa. Kuna ajenda gani imejificha humu? Walianza wasukuma, halafu wanaigana utafikiri sifa kumbe ni janga. Karne hii watu mnatukuza ukabila? Mnaunda vikundi vinavyohamasisha ubaguzi...
Back
Top Bottom