janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Fukua

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

    Habarini wote. Baada ya mda Sasa Leo nichukue fursa hii kutoa mawazo yangu kuhusu kushikiliwa Kwa yule msemaji hovyo. Ni kweli ana udhi, ni msaliti, ni mwiba Kwa rasilimali zetu, ni kibaraka, ni msaliti, ni mjuaji, binafsi SI mpendi. lkn pia ana penda haki, ni mwanasheria msomi, ana akili...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  3. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo: Janga Lisilopewa Kipaumbele

    Msongo Wa Mawazo ni tatizo kubwa barani Afrika, lakini bado haupewi uzito unaostahili. Watu wengi wanateseka kimya kimya kwa hofu ya kuhukumiwa, wakibeba maumivu ya kiakili yanayoharibu afya zao, familia zao, na maisha yao kwa ujumla. Jamii zetu zimezoea kuficha mateso ya ndani kwa maneno kama...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  7. Kant Ombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko cha Azam Ferry pale Kigamboni ni janga jingine linalosubiri kutokea

    Jamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea. Tafadhali, idara ya serikali inayohusika, siku tatizo likitokea mtatueleza nini? Hakuna maboya ya kuogelea, wanaosimama...
  9. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

    Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Naibu Gavana wa Benki Kuu EU: Donald Trump ni janga baya kuliko Corona

    Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya Luis de Guindos amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita. Shirika la Habari la IRNA limemnukuu...
  13. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Migongano ya ndani; Kwanini CHADEMA hawashtukii huu hili janga?

    Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema husababisha kupotea kwa credibility ya chama na kurudisha nyuma harakati za chama. Mimi ni kada wa...
  14. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu Tanzania ni janga la Kitaifa

    Ndugu zangu habari zenu Kuhusu haya yanayoendelea kwenye ajira za ualimu ni uozo mtupu ,kwanini nasema hivi ● Huwezi kupata mwalimu bora kwa kufanya mtihani wa kuchagua tena kwa dakika 40 Kwa hiyo serikali imekosa imani na vyuo ambavyo vimepewa kibali na wao wenyewe kwa ajili ya kuzalisha...
  16. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Janga linalo weza epukika

    we need to know that. haitakiwi kutukana ukiwa kama mtu unae reply alicho andika mtu kwa kauri ngumu. wala wewe ulie andika hicho kitu hautakiwi kurudishia comment ya mtu kwa maneno makali. emu tujaribu kutumia majukwaa haya yaliyopo JamiiForums kuonesha utashi wetu wa kufikiria juu ya namna...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
  18. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

    Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo. 1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka. 2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila...
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Janga la Malaria, Typhoid na UTI

    Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani. Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
Back
Top Bottom