janga

Rangelo Maria Janga (born 16 April 1992) is a Curaçaoan professional footballer, who plays for NEC Nijmegen, on loan from Astana, and the Curaçao national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania MUSEVI anasema hajui mradi wa Tanga kinachoendelea!!! Tanzania ni janga

    Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni janga: wenzetu Kenya usafishaji wa mafuta, Uganda oil wanafanya kweli. Je Gas ya Tanzania wanasubiri upigaji

    Yaani Tanzania tumepata gas miaka mingi lakini hata umeme wa uhakika hatujapata mpaka bawa la nyerere!. Uganda angalieni walivyoendeleza miradi ya mafuta kuanzia uchimbaji wa mafuta, bomba la usafirishaji na usafishaji. Kenya hawana hata mafuta ya maana wanajengewa mradi wa $17B. Sasa yaani hii...
  3. JamiiForums Tanzania Je, mbona taifa la Malawi haliambiwi liombe kujiepusha na janga linalokuja?

    Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!! Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti akiwasihi raia na waumini wa dini zote kumuomba Mungu atende miujiza taifa livuke salama...! Lakini...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  5. JamiiForums Tanzania AI inatengenza tabaka jipya kwa developers

    Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana kuvuka mipaka.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila utaratibu. Ndugu Katibu Mkuu, Wizara ya mambo ya ndani. Natumai barua pepe hii inakukuta ukiwa mzima wa...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaotoa ushauri wa jumla jumla kwenye kila jambo, ni janga lingine linalotakiwa kukemewa haraka sana

    Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla. Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua?

    Kichwa cha Habari: Uchambuzi: Kamari ya Hatari ya Benchi la Ufundi Yanga kwa Diarra—Je, Hawakujifunza Kitu Kwenye Janga la Pacôme Zouzoua? Wakuu salamu, Nimekaa na kutafakari sana mwenendo wa idara yetu ya ugolikipa pale Jangwani, na kwa kweli kama shabiki na mdau wa soka, siko sawa hata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kamari imekuwa janga kubwa, Vijana tuungane kutokomeza janga hili

    Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha. Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia. Hakuna dalili...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo haya ni janga kubwa sana,(what 50 cent tells...)

    🚨 Breaking News 😳💔💔 50 Cent says marriage is the worst contract a man can sign — “it’s a bad deal!” 😳 50 Cent recently made it clear that he views marriage as a “bad contract” — and he’s urging men to think twice before signing on the dotted line. What He Said: · Marriage is the worst...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Janga la Betting kwa Watanzania tujiandae na rehab center

    Habari wakuu Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

    Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea: "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii..."...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo ni hatari sana, ni Janga kubwa, naomba tufahamishane

    Vikwazo maana yake ni kutengwa na mataifa katika nyanja mbalimbali Vikwazo ni hatari sana,ni janga na vinatesa sana. Kuna aina nyingi sana za vikwazo lkn vikwazo kwa kiuchumi na kisiasa ni hatari kuliko vyote. -Kuna vikwazo vya nchi moja kuiwekea vikwazo nchi nyingine,mfano Marekani kuiwekea...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Janga zito toka TTCL kwa wafanyabishara wa Wi-Fi

    Niliwahi kuandika humu kuhusu biashara ya WIFI kwenye jukwaa la story of change lakini watu walipokea kitofauti kwenye jukwaa lakini kiuhalisia iligusa wengi na watu wanajipatia kipato. Biashara hiyo 1 imezalisha biashara au ajira zaidi ya wazo hilo. Sasa nasikitika sana kampuni ya serikali...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko dhidi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwalakamu kuhusu tuhuma za ukiukwaji wa taratibu za uongozi

    Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama. Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na tuhuma zifuatazo: Matumizi mabaya ya fedha za umma: Inadaiwa hutumia fedha za shule bila idhini ya vikao...
  17. JamiiForums Tanzania Hili tatizo la wanawake kuwa wakavu ni mimi tu nakutana nalo au ni janga la Taifa?

    Asalam aleiko Moja kwa moja kwenye Mada Siku za hivi karibuni nimeanzisha harakati za kuzitandika mbususu ipasavyo na tena bila huruma. Sasa cha ajabu kati ya mbususu 10 ninazokutana nazo basi 8 lazima ziwe kavu. Soo nauliza ni mimi ndio nina bahati mbaya au k kavu ishakua janga la taifa?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hili suala ya michanga kwenye sukari na unga ni janga la Kitaifa mamlaka husiki angalieni hili

    Wanajamvi Kumekuwa na ongezeko kubwa la vyakula kuwa na michanga hasa sukari na unga wa ngano au ugali na sijui shida ni nini Tunaomba mamlaka zinazohisika zijaribu kulifatilia hili suala kwa ukaribu ili kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kujitokeza baadaya kwa walaji Imekuwa ni jambo la...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna janga la stress (msongo)

    Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili. Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout out🗣🗣makunyazi yake, sio kwamba apunguze stress ila bila kujua ana jihukumu kwa namna alivyo kwa kuyasema mambo mazito...
  20. JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…