Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,696
- 2,592
Kabla ya AI kwa ujumla kila developer ambaye alikuwa na access ya computer na internet alikuwa na uwezo wa kuandika software kutegemea na uwezo na juhudi zake mwenyewe, tools karibia zote za programming, ide, compiler, frameworks learning material zilikuwa zinapatikana bure au kulikuwa na mbadala wa bure.
Ingawa kulikuwa na tofauti kubwa kwa upande wa access ya funding na soko kama unataka kutengeneza product za kuuza.
Sass ujio wa AI kwenye software development unaleta tabaka lingine, subscription ya model zinazoongoza duniani yaani za OpenAI, Anthropic etc ni kama $100-$200 kwa mwezi! Tena hii ni bei bandia ambayo wanaitumia kukamata soko "subsidized pricing" ambayo iko chini ya gharama yake, mwishoni itabidi zipande.
Bei hii ni kubwa kwa wengi hata huko Marekani kama wewe hautengenezi hela kwa kutumia AI au ni mtoto, mwanafunzi ni vigumu kulipa $200 kwa mwezi. Huku kwetu ndo kabisa hata $100 ni bei ngumu sana kumudu.
Hii inaleta tatizo jipya kwamba kuna uwezekano mkubwa ni wale wenye $$$ tu wataweza kuwa developers kwenda mbele, hakuna kinachokuzuia kuandika software bila AI ila kiushindani itakuwa vigumu sana.
Kwa hiyo ni muhimu sana kwetu model za Open Weights hasa hizi za Kichina, DeepSeek, Qwen etc ziendelee kupatikana na kuboreshwa, hizi kwanza ni nafuu zaidi pili zinaruhusu kutumika locally kwenye machine yako bila kulipa chochote, kuna tatizo la gharama za hardware hapo ambalo halikwepiki kwa sasa.