jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

    Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake ya Aishi, iliyopo huko mkoani Kilimanjaro, Kati ya mwezi May na August mwaka Jana. Swali la kwanza...
  2. Yaliyojiri JamiiForums Space kuhusu Maambukizi ya COVID-19 na Utoaji Chanjo Tanzania

    Jamii Forums inakukaribisha kushiriki kwenye Mjadala kuhusu Maambukizi ya #COVID19 pamoja na Utoaji wa Chanjo nchini Tanzania Mjadala huu unafanyika Agosti 6, 2021 kupitia Twitter Spaces (JamiiForums) kuanzia Saa 12 jioni na utahusisha Wataalamu wa Afya watakaozungumzia Masuala anuani kuhusu...
  3. Nimechanja chanjo ya COVID-19 jana na niko salama

    Jana baada ya waheshimiwa kupata chanjo yao, nami nikaingia chemba kuipata rasmi. Nimechanjwa hii chanjo ya Jonson and Jonson kama hatua moja ya kinga ya ugonjwa wa corona. Nia ya bandiko hili ni kuwajulisha ninavyoendelea kadri siku zinavyokwenda. Mpaka sasa na leo niko salama na nita update...
  4. N

    Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

    Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii. Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za...
  5. M

    Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

    Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani. Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila...
  6. Tuna la kujifunza; Mama Mghwira mwaka alijitangaza kuumwa Corona na kupona, lakini mwaka huu...

    Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako Kufutia kuumwa kama tulivyoambiwa na familia ugonjwa wa changamoto ya kupumua, Mama yetu Mghwira Mungu...
  7. Mpaka bobby walikuwepo kuzuia katiba mpya jana mjini Mwanza

  8. K

    Nimetazama dakika 45 ya Mhe. Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha jana jumatatu nimemuelewa katika haya

    Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji. Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
  9. Foleni ya Bank jana na leo asubuhi

  10. Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini. Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
  11. C

    Jose Mourinho 2018 aliongea haya kuhusu Bonucci na Chiellini. Je, kwa performance yao unahisi kuna ukweli?

    “Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini... they could go to Harvard University to give classes about how to be a central defender. They’re quality. When I say quality I don't just say creative players. Chiellini-Bonucci, it’s absolutely beautiful to see”. 🇮🇹 José Mourinho - 2018
  12. Hawa Beiging Engineering Company niliowasikia kwenye taarifa ya habari jana ndio wa kina nani?

    Habari wadau! Anayewajua hawa wa wachina jamani
  13. Jana refa katunyima penalt

    Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali...
  14. J

    Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  15. Bandari ya Bagamoyo ni muhimu jana, leo na kesho.

    Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu. Ikiwezekana tuwahamishie Bara baadhi ya wakazi wa Zanzibar ili kupata nafasi ya kujenga ports kubwa nyingi...
  16. M

    Nilichojifunza kwenye teuzi za Wakuu wa Wilaya Juni 19, 2021

    Kwanza nianze kwa kunena kuwa kwa mujibu wa muundo wa uongozi kwa katiba tuliyo nayo kwa sasa ni sahihi kuwa na wakuu wa wilaya. Kwa vile sasa tuko awamu mpya (ya awamu ya sita) ni sahihi pia kwa Raise mpya kusuka timu yake ya uongozi. Namna mojawapo ya kufanya hivi ni kuteua viongozi...
  17. Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  18. Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

    Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
  19. Maoni: Dkt. Batilda Buriani ameshushwa mno kuteuliwa kuwa Katibu Tawala

    Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu. Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…