Jana refa katunyima penalt

Numero Uno

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
597
1,278
Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box

Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA

Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
 
Okay ila hata Yanga walionewa kutokana na refa kutotoa red card kwa dangerous plays za John Boco dhidi ya Mukoko Tonombe.
 
Kwa aslilimia kubwa matokeo ya game yaliamuliwa na refa two clear penalties

Ukiona timu inalilia penalti jua ni wanunua mechi.. maana hata kwa kaizer morrison alikuwa anahangaika na penalti...

Kama timu yako ni nzuri funga magoli mazuri acha kutegemea magoli ya kupewa ya penalti...

Rafu unacheza sana kadi upewi.. ila refa unamuona mbaya
 
Malizia hapo na Boko kunyimwa Kadi Nyekundu.

Usiangalie kwenu tu, refa kawabeba sana Simba jana kwa rafu zile walizokuwa wanacheza.

Ukiona timu inalilia penalti jua ni wanunua mechi.. maana hata kwa kaizer morrison alikuwa anahangaika na penalti...

Kama timu yako ni nzuri funga magoli mazuri acha kutegemea magoli ya kupewa ya penalti...

Rafu unacheza sana kadi upewi.. ila refa unamuona mbaya

Kuna rafu morrison alichezewa sikumbuki nani alimchezea ilimuwa ni red refa hakutoa hata yellow
 
Back
Top Bottom