jamii

  1. I

    SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  2. SoC01 Nitaishije Maisha Yenye Faida

    Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo? Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha. Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
  3. TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

    TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
  4. Shaka Hamdu Shaka akutana na jamii mpya

    SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na...
  5. J

    Shaka Hamdu Shaka akutana na kundi la Jamii Mpya

    SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na kuwajengea...
  6. SoC01 Lishe Bora ndio Msingi wa Maendeleo ya Jamii na Taifa kwa ujumla

    Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
  7. Changamoto katika malezi ya mtoto kiziwi anapokuwa nyumbani na kwenye jamii

    Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema. Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
  8. IPP Media acheni Ubaguzi wenu kwa Jamii nyingine. Mlichoandika hapa ni ukaburu

    Ukiangalia hii taarifa unajiuliza kutaja asili ya kihindi lengo lake lilikuwa ni nini? si walishasema Mtanzania? Je, kosa lake linahusiana na Asili yake? Why wataje Asili ya Mhusika? Utagundua. Ni Ubaguzi. Na tukatae kabisa Ubaguzi. Siku nyingine Watandika Mtanzania Mwenye Asili ya Tanga...
  9. Ni nini kinachopelekea ukoo kuwa na nguvu na ukoo mwingine kukosa nguvu kwenye jamii zinazotuzunguka?

    Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia, ukoo, jamii mpaka nchi kwa ujumla. Karibuni wakuu.
  10. Taliban na Afghanistan: Nini hatima yake machoni mwa kiitwacho Jumuiya ya Kimataifa

    Talibani Na Afghanistan. Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)? Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38. Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani? Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan...
  11. F

    Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  12. B

    Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  13. Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

    Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja Kuna jamaa...
  14. Ushauri wana jamii

    Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona niko karibu na wanawake wengine, yaani hata nimisalimiwa na mwanamke afu akaongeza na maneno mawili...
  15. N

    SoC01 Kuwa chachu ya mabadiliko chanya katika jamii inayokuzunguka

    July 30th 2021 MUSTAKABALI WA JAMII Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
  16. SoC01 Akili ya binadamu ndio muhimili mkubwa wa maendeleo yote

    Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
  17. N

    SoC01 Demokrasia huchochea mabadiliko katika jamii

    DEMOKRASIA Ni aina ya utawala ambayomaamuzi huamuriwa na watu. Pia demokrasia huruhusu maamuzi mbalimbali kufanyika kupitia nguvu ya watu. Demokrasia huruhusu uhuru wa watu, vyama vingi vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari na usawa katika sheria. Demokrasia huchochea mabadiriko katika jamii ni...
  18. Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  19. SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
  20. Wanaopinga chanjo ya Corona watafute pa kwenda

    Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na director wa taasisi ya magonjwa ya kuambukiza na (allergy) marekani katika mahojiano yake na NBC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…