jamii

  1. Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  2. Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  3. Hili ndilo neno la Mungu kwa JamiiForums

    Kumbukumbu la Torati 20:1 [1]Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri. When thou goest out to battle against thine enemies, and seest horses, and...
  4. Litakuwa jambo jema tukijulishwa ni ushirikiano gani wanaoutaka Serikali kutoka ofisi za Jamii Forum na kweli uvamizi haramu haukufanyika.

    Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa. Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
  5. Mtazamo wa Jamii za kiafrika unavyoathiri uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu

    Tanzania imeweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Lakini pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kipindi kifupi cha uongozi wake, bado anakabiliana na changamoto kubwa moja: mtazamo wa kijamii wa Kiafrika kuhusu nafasi ya mwanamke katika...
  6. Madai ya kuuawa Magufuli yaliandikwa JamiiForums kabla ya kutokea

    Kwenu wana jamii Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena...
  7. jamii forum kwa nini mumefuta dot tu dot mada yangu

    Wengine tunaweka ID sio kwamba mtufahamu rudisheni huu uzi
  8. Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
  9. Tetesi: Simba wasema hawatacheza ngao ya jamii tarehe 16 walisepa season 2, hatuchez season 2

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team Simba acheni uoga...
  10. Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  11. BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  12. Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Nimedesign clone ya Jamii Forums app kwa kutumia Flutter, nikiwa nimefanya marekebisho machache (UI/UX na baadhi ya features) ili kuiboresha zaidi. design hii imelenga kujifunza, kuonyesha uwezo wa Flutter kwenye mobile app development, na pia kujaribu kuibua ideas mpya kwa ajili ya apps...
  13. Nawakumbusha tu wana Simba SC kuwa Mshambuliaji tunayemtegemea katika Mechi yetu ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC hatocheza kabisa

    Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
  14. BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu...
  15. Dkt. Tulia Avutiwa na CRDB Bank Marathon Iliyokusanya Bilioni 2 kwa Afya na Jamii

    Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
  16. BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  17. Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya Familia akampa Masharti Baba mwenye Nyumba? Kama kuna Serikali yoyote ile duniani imepewa Masharti...
  18. H

    Ujumbe wa kuhamasisha maadili mema na malezi bora katika jamii

    Katika dunia ya sasa yenye changamoto nyingi za kimaadili, ni wajibu wa kila mzazi, mlezi na taasisi kuhakikisha watoto na vijana wetu wanalelewa katika msingi wa maadili mema, heshima, utu, na uwajibikaji. βœ… Maadili mema ni nguzo ya maendeleo ya jamii yoyote. Jamii isiyo na maadili hudhoofika...
  19. BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. πŸ“… 25 - 30 Agosti, 2025 πŸ“ Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  20. Usiruhusu jamii ikupumbaze ukakubali kuwa retirement plan.

    Alivyokua 20's, kwenye kilele chake cha uzuri, bado hajaguswa. Wanaume wenye malengo na wanaothamini thamani yake walimfuata, lakini jamii iliwasakama wanaume hao kwa kuwaita fataki, wahalibifu na kusema kwamba binti uyo bado mdogo. Huku binti mwenyewe akisema hayupo tayari kuolewa anataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…