jamii

  1. F

    Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji Thanks, Nzuri, Kicheko, Mshangao, Masikitiko, Dislike?

    Kuna kitu kinakosekana wakati mwingine unataka kusema Yes au No, lakini hazipo. Je JF waongeze emoji zipi zaidi ya zilizop? Mods kichwa cha habari kiwe: Nafikiri kuna haja ya kuongeza emoji walau mbili zaidi kwenye Jamii Forum threads, tuweke emoji gani zaidi ya Thanks, Nzuri, Kicheko...
  2. I

    Big Up Mzizi Mkavu, Asante Jamii Forums!

    Hamjambo member wote wa JF? Mimi naitwa inch 9, mwanachama mpya mkongwe wa JF nichukue fursa hii kumshukuru Mungu wangu pamoja na wale waliofanikisha kunileta duniani. Awali ya yote napenda nimshukuru pia member mkongwe wa JF wa kuitwa Mzizi Mkavu kwa sababu kupitia yeye ndo nilianza kuufahamu...
  3. Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  4. Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  5. Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  6. O

    Kusaulika kwa nafasi ya Kijana Mvulana katika jamii

    Habari zenu wanajukwaa Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika. Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda...
  7. Huyu ashitakiwe kwa kuongea uongo na kupotosha jamii

    Mimi simjui huyu mtu ila mpaka media zinamwita kufanya naye mazungumzo bila shaka ni mtu maarufu katika jamii. Anatoa uongo kwa manufaa ya nani? Ni kweli sasa bodaboda wamekuwa wengi sana. Kila kwenye stand ya daladala kuna stop ya bodaboda, kila kwenye soko, makutano n.k kuna stop ya...
  8. Jamii forum Inafanya sensorship na filter kubwa sana siku hizi!! Si sehemu huria kama mwanzo

    Sasa ivi hii platform hovyo sana! Kila nyuzi wanafuta!! Hata nyuzi zisizo za siasa!! Maoni binafsi story binafsi Yaan kifupi wanataka kila mtu awe mwandishi wa habar siyo sehemu tena ya ku interact. Good luck Jf Nawa tabiria kifo by 2030
  9. Jukwaa la Jamii forum doctor au Jf Afya limepotelea wapi?

    Ndugu wanaJf ni simu yangu tu au na ninyi kwenye simu zenu Jukwaa la Afya kutoonekana! Tangu Jana nalitafuta silipati. Kuna shida gani! Naomba mwenye kujua tatizo atuambie....
  10. Kuna ulazima mpenzi wa sasa ajue mahusiano yaliyopita?

    Je kuna ulazima mpenzi wako wa sasa hajue mahusiano yako yaliyopita??
  11. Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  12. Maoni yangu katika kusaidia kuwakamata wapigaji kwenye manunuzi ya umma

    TANZANIA TUITAKAYO - UNUNUZI WA UMMA. Manunuzi, ni kitendo cha kununua au kuuza hifaamike tu kuwa nibidhaa au huduma kutoka katika chanzo cha msambazaji au mtoa huduma lakini chanzo hiko kiwe halali katika utoaji wa huduma, manunuzi yavitu ambavyo haviko halali yani vitu vya wizi hatuseme...
  13. Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  14. Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  15. Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

    Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko. Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati. Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa...
  16. MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  17. Nini msimamo wa TLS kwa wanachama wake kuwatetea wabakaji na walawiti ambao jamii nzima imeona unyama wao?

    Mimi siyo mwanasheria, lakini nimeona msimamo wa TLS kulaani tukio la unyama uliofanywa na wabakaji na walawiti na TLS imetowa wito kuhakikisha haki inatendeka. Sasa napata tabu kidogo kusikia kuna mawakili wanne wanaowatetea hawa washenzi wasiostahili huruma hata chembe. Mimi ningekuwa wakili...
  18. Jamii za wafugaji hampo juunya sheria

    Mara kadhaa mnajichukulia sheria mkononi. Ikibidi paundwe mkoa maalum wa Kipolisi ikijumuisha Karatu, Longido, Kiteto, Monduli, Ngorongoro na Chemba.
  19. Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  20. Demokrasia isikiuke maadili ya kijamii

    Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida. Nionavyo, kwa sababu ya uhuru wa kujieleza, baadhi ya Wakenya, hasa vijana, wanatumia hiyo fursa kufanya mambo ambayo ni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…