"Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa...
Wanabodi,
Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri.
Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
Hello mambo aje?
Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe.
Sio style moja yaani style...
Jamii ina watu tofauti tofauti, kukiwa na matabaka, kipato, elimu na mtindo wa maisha hutofautiana.
Kuna wenye ushawishi kam Mshana
Watu wajuaji na wabishi kama kiranga
Wenye degree za maisha kama Analyze
Wapo wasomi wa ngazi na taalum tofauti
Pia kuna matajiri kam akina kidukuliko
Wapenda...
Mwanaume mwenye thamani mara nyingi hupata anachokitaka.
Maana ya mwanaume wa thamani ni mwanaume ambaye ana mvuto wa kimapenzi kwa wanawake na pia wanaume wanataka kuwa kama yeye au wanamuangalia kama kiongozi. Watu hupenda kuwa karibu naye na kumsaidia. Ili na wao wapate kitu toka kwake.
Hivyo...
Ndugu zangu...
Sio Leo, wala Jana, au Juzi wala Majuzi tumekuwa tunasoma Lugha zenye utata katika baadhi ya nyuzi na maudhui yanayo ambatana nayo...mfano mzuri ni kama zile za mambo ya ndoa, nywele za wanawake n.k Kiujumla ni zile zinazotoa wosia kwa Jamii kwa ujumla. Wakati nyuma yake...
Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu.
Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni.
Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini imara na taifa imara.
Familia ni taasisi nyeti na muhimu mno.
Kwakua taasisi hii nyeti ni muhimu...
MWALIMU NA JAMII
Kumekuwa na tabia za kumshambulia mwalimu kila mara anapofanya kosa hasa kwenye mitandao ya kijamii. Ni rahisi sana jamii yetu kukimbilia kuona makosa ya mwalimu na sio mema yake.
Mwalimu ni binadamu kama wengine.
[emoji404]Anaweza kushikwa na hasira za kupindukia kutegemea...
- Tanzania kuna mifuko ya hifazi ya Jamii miwili:-
1. NSSF ( huu nikwa wafanyakazi wa sekta binafsi na sekta zisizo rasmi )
2. PSSSF ( huu nikwa wafanyakazi walio ajiriwa na serikali pekee )
Mafao ni haki ya kila mwanachama wa mfuko, pindi anapo pata Janga la aina yoyote mfano uzee, kukosa...
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kuwa wakuu wa wilaya mnamo tarehe 25 Januari 2023; mwalimu Leah Ulaya rais wa CWT kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mwalimu Japhet Maganga...
Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo.
Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe.
Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
Ndoa ya kulazimishwa ni hali ambapo mtu amelazimishwa kuoa au kuolewa bila hiari yake. Ndoa ya kulazimishwa inaweza kutokea kwa shinikizo la kihisia, kifedha, kwa matumizi ya nguvu au vitisho, kwa kurubuniwa na wanafamilia, mwenzi, au wengine.
Ndoa hizi zimepigwa marufuku na mikataba kadhaa ya...
NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA)
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kuwa wakuu wa wilaya mnamo tarehe 25 Januari 2023...
Niende moja kwa moja.
Leo nikiwa ofisini na kiongozi wa kitengo chetu. Mkuu huyu wa kitengo katika uliza uliza yake alinighadhabisha sana.
Swali likanijia mamlaka za uteuzi kwamba wanawapa wapi mamlaka ya kuwaweka ukuu wa section watu wanaoshindwa kuwa na chembe ya hekma?
Kwanini nawaza...
Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control).
KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
Uraia Hai (active citizenship) unamaanisha watu kujihusisha katika jamii zao na demokrasia katika ngazi zote na kuelewa kuwa sisi sote ni tofauti, lakini jukumu la kubadilisha jamii zetu ni sawa. Uraia hai unaweza kuanzia katika ngazi ndogo kama vile kampeni ya kusafisha mtaa wako au kubwa kama...
Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo.
Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga risasi mke wake wanaume wanatetea uenda mwanamke hakuwa mwaminifu kwenye ndoa kule Dar dada kachoma moto...
Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno.
Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.