jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  2. JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara

    Inapofika msimu wa kuandikisha watoto serikali inazisitiza wakaandikishwe,lakini wakishaanza shule ufuatiliaji wake unapunguwa hali inayopelekea watoto kuzurula mtaani.Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara ni aibu tunatengeneza taifa gani?Tazama...
  4. JamiiForums Tanzania Chagua jambo moja tu la kuliondoa katika hii dunia

    Mimi nitaondoa "UJINGA" Kwasababu... Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne. Umasikini, vita, njaa, na kifo. Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo. Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  6. JamiiForums Tanzania NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES HAWANA JAMBO DOGO

    💥💥NIZAR COMPUTERS ACCESSORIES💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 KARIBUNI SANA SISI TUNAUZA NA TUNATOA HUDUMA YA VITU MBALIMBALI IKIWEMO; 1:KAZI NA MALIPO YA VITU AU PESA TASILMU ,Kwa wewe mwanachuo au raia nadhani unapenda kufanya kazi na watu wanaojari na UJIRA wao ni mzuri.Sasa fursa ni yako ukitaka kumiliki...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
  8. G

    JamiiForums Tanzania Presha, figo, maini vinanyemela wanywaji. ni jambo jema kuanza kutunza savings za matibabu. kuomba michango na kuchota bajet ya familia si jambo jema

    Hasa wanaotumia pombe kupitiliza Pombe inachangia kodi nyingi lakini pia tusisahau inasababisha gharama kubwa za matibabu. Figo kufeli mawe kwenye figo homa ya ini Presha / BP Kibofu uti n.k. Haimaanishi kwamba wasio kunywa hawawezi kupata hayo magonjwa bali wanaokunywa kuna uwezekano mkubwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani Amos Makala amewahi kubuni, kutekeleza na likafanikiwa?

    Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi. Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia...
  10. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

    Bonjour, Bila kupoteza muda ukiachana na kulipa kodi ni jambo gani unajivunia kulifanyia Taifa lako. Mfano jeshi la wananchi mwanajeshi ana cha kujivunia binafsi najivunia kuchangia damu bila shuruti kwa hiali kabisa na kwakuwa damu yangu ni group O mim ni Universal global donor najua damu...
  11. JamiiForums Tanzania Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari ukiwa Tanzania sio jambo la mchezo... yataka moyo.

    Wakuu nimetafakari sana nimegundua kumiliki gari ukiwa TZ sio jambo dogo tofauti na nchi jirani. Gari linachukua pesa zako nyingi sana kwa mara moja. Kwa mfano ukiagiza gari ulilolipia labda Tsh 10m itakulazimu uandae kiasi kama hicho ndani ya siku 45 ulipie kodi na gharama zingine za kuingiza...
  13. JamiiForums Tanzania Jambo gani lililowahi kukufanya ujisikie aibu/Ujivunie Utanzania wako?

    Niliyojivunia: 1. Nilipata safari ya kikazi mkoani Kagera wilaya ya Ngara. Kwenye lile basi raia wengi walikuwa ni wa Rwanda na Burundi. Wakati nipo kwenye basi, nilishuhudia wale jamaa walikuwa wakiongea kwa kuangaliana makabila tu, yaani Mhutu kwa Mhutu au Mtutsi kwa Mtutsi hata kama wamekaa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  16. JamiiForums Tanzania Ukitenguliwa tulia, kila jambo lina wakati wake

    Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
  17. JamiiForums Tanzania Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Habari za muda huu wapendwa. Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde. Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako. Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  19. JamiiForums Tanzania Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo. Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia...
  20. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…