jambazi

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mchungaji mwanamke aliyekuwa jambazi sugu, aolewa na mume aliyekuwa jambazi

    Anaposimulia maisha yake ya hapo awali utadhani ni hadithi ila ni hali halisi ya maisha yake ya kale ambaye kwa sasa anajulikana kama mchungaji Rebecah Ndinda. Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Alijipata katika hali hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ban'gala, jambazi la Kigurunyembe lililofungwa jela kwa ubakaji miaka ya 90

    Hili jamaa likiishi kigurunyembe mizambarauni miaka mwanzoni ya 90 likiwa lihalifu haswa Ila lilifungwa mvua15 baada ya kubaka. Sijui litakuwa wapi Sasa. Anaejua atujuze.
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Yawezekana siyo Gaidi au Jambazi, Silaha za kivita alijulia wapi?

    Sawa tukubaliane na ushuhuda wa majirani kuhusu kijana Hamza aliyeuawa na polisi baada ya yeye kuwaua polisi wawili na mlinzi moja, ukitazama tukio lilivyokuwa kupitia video zilizorekodiwa, utaona kuwa huyu bwana alikuwa na uwezo wa kutumia mashine gun au silaha nzito ya kivita, haya mafunzo...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  6. kidereko

    JamiiForums Tanzania Enzi za Jambazi anaitwa "Kitenga" mkoani Morogoro, miaka ya 93

    Wakuu , Kuna miaka morogoro Kuna Jambazi alisumbua alikuwa anaitwa Kitenga, nakumbuka alipokufa watu walikusanyika pale mortuary ya hospitali ya mkoa kwenda kumshuhudia kama ni yeye au la. Mwenye kukumbuka historia yake atumegee kidogo, japo me nilishuhudia maiti yake, but sikumbuki matukio...
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

    Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi. Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wamuua mtuhumiwa wa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum limeua mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Kilambo Nyasairo, mkazi wa Chanika kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi #MwananchiUpdates Nalipongeza sana jeshi la polisi kwa kumpora haraka silaha huyu jambazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wamejiwa juu baada ya kupiga picha na jambazi na kuposti kwenye mitandao ya jamii

    Inakuwaje wanajamvi! Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani

    Jambazi akamatwa akitubu dhambi Kanisani Pascal Mwakyoma TZA on April 13, 2021 Kijana aitwaye Abraham Nduba, mwenye umri wa miaka 26 kutoka kaunti ya Murang’a nchini Kenya amekamatwa na kutupwa jela miaka mitano baada ya kuungama kanisani kwamba ni mwanachama wa genge la uhalifu eneo hilo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya urafiki na jambazi la kike chuoni

    Kamwenee bee, miaka hiyo natoka advance nikaomba course ya law chuo flan cha serikali. Nashukuru Mungu sana nikipata. Time ile tuliripoti chuo kama sikosei mwezi wa kumi hivi, basi kufika chuoni rasta nilikuwa mwenyewe tu, enzi hizo marasi hatukuwa wengi. Ila tulikuwa wale marasta by nature sio...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee

    Kweli milima haikutani jambazi lililotuibia tv mwaka 1988 Raskazone Tanga nimeliona leo limezeeka linaishi kwa mtoto wake pale Mabibo jeshini linaumwa figo miguu imevimba balaa. Kilichofanya nimtambue ni kovu lake juu ya jicho na huyo mwanae anaeishi nae japo wao wamenisahau. Moyo unaniambia...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akamatwa na Polisi

    Katibu mkuu wa shura ya maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa ponda akamatwa na polisi hivi punde Amekamatwa akiwa anatoka Msikitini sala ya Alasiri saa kumi na Moja maeneo ya Ilala. Alivyotoka Msikitini anataka kuingia kwenye gari yake ndo Wakamkamata. Kwa sasa wapo wanasheria wanafuatilia...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Wazee Kigoma: Askari aliyemkamata Zitto kama Jambazi aombe radhi lasivyo kukiona

    Wanasema Zitto sio jambazi na mwizi kushikiliwa vile kama alivyofanyiwa na askari aliyemkamata hawaamini kwanini alimuharasi kiasi kile. Wanasema Zitto ajavunja sheria yeyote na mikutano ya ndani haijakatazwa mpaka mtu akamatwe kama jambazi wazee wanasema wanampa muda yule askari aombe radhi.
  17. Heci

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

    Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar. Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live. Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
  18. muhubiri mpya

    JamiiForums Tanzania Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema. Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson Waziri mkuu wa uingereza enzi za ujana wake utadhani jambazi

    1987 akiwa na umri wa miaka 23
  20. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Jambazi sugu ajisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa na risasi za Polisi

    Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa. Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
Back
Top Bottom