jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

    What the helly JF massive? Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa. Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi? Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi. Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co. Mpaka kufikia...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  3. KAOROGOMA

    JamiiForums Tanzania Hivi Jamaa uwa ni mod hapa JF anajieditia nyuzi au ? Swali kwa mello

    Huyo Dogo britanicca uwa ni mod au ? Maana Kuna threads yapata mbili napita naona amegonga Kuna na Hii hapa kando https://www.jamiiforums.com/threads/ni-maono-yangu-2030-january-makamba-mgombea-ccm-wakati-polepole-akiungana-na-bashite-kwenda-upinzani.1915073/page-6
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Jamaa kasomea uinjinia wa umeme lakini hana ajira

    Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika..... "Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi ya makaa ya mawe, chuma, uranium, nickel na cobalt. Nchi inayoagiza Mpaka gunia la Kubenea viazi...
  5. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Jamaa Aliyeichezea FBI Kwa Miaka 22 Bila Kugundulika

    Usiku wa Mwisho wa Uhuru Ni Jumapili ya baridi, tarehe 18 Februari 2001. Mzee mmoja, yuko kwenye miaka ya hamsini mwishoni, anatembea peke yake kwenye bustani tulivu nje kidogo ya Washington DC. Anaonekana kawaida tu – hana wasiwasi, hana haraka, kama mtu tu kaenda kutembea. Anasimama karibu na...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

    "We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza kukaa kwenye kiti cha Mungu. Ona kilichokupata. Ulitupwa chini kama takataka! Kiburi chako...
  7. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa ananidhulumu hela yangu. Nikienda Polisi nitapata haki?

    Wakuu habarini za wakati huu. Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE, FLOOR YA 5, ROOM NAMBA(imehifadhiwa). Katika harakati za hapa na pale ndani ya mji, tulikutana...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
  10. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Ukimsililiza Gwajima na Polepole unaona kuwa hawa jamaa unaweza ukashindwa kuwaelewa

    Ukisoma kitabu cha Mkapa My life my purpose . Ameelezea mambo mengi Ila kubwa kuliko kazungumzia , Kuhusu tume ya huru ya uchaguzi. Na akasema Kama angeweza kurudisha miaka Nyuma angehakikisha anaweka tume huru ya uchaguzi. Na anakubali Kuwa mwaka 2000 alichota kiasi kadhaa cha pesa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaumbuka kijiweni na kingereza kibovu eti kasema I forgot my phone at home badala ya kusema I left my phone at home .

    UFAFANUZI: Forget vs. Leave I forgot my book at home. ❌ I left my book at home.✅ Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable. The phrase “I forgot my book at home” is incorrect because forget refers to failing to remember, not leaving...
  12. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba editor mnisadie kuedit mmuweke huyu jamaa maeneo ya Dubai

    #Challenge
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mzee Mshana jr msaidie jamaa yetu

    Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old, Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni, Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma choma km sindano anaishia kujikuna Kuna. Ngozi yake aina ushirikiano na mwili miguu imempauka km...
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

    Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nashauri: CHADEMA, wafuasi wa Lissu, Ndugu, Rafiki na jamaa Wasiende Mahakama kuanzia siku ya Leo

    Hamjambo! Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu. Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili; 1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mdada kama ulimkataa jamaa ujanani endelea kumkatalia hadi ukiwa 35+ endapo bado anakufuatilia

    "Sikutaki", "Nina mtu wangu", "Sina hisia nawe", "Hatuwezi kuwa pamoja", "You are not my type"..... na majibu mengine kama hayo ulikuwa ukiyatoa wakati wote mkiwa under 30yrs tena mara nyingi below 25 years. Na utakuta jamaa alikuwa akiona jinsi ukila bata na vipenzi vya moyo wako huku...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Walimwengu ninechanganyikiwa; Nimezifuma meseji za mpenzi wangu akimuomba jamaa amuoe kwa kutumia vocha yangu!!

    Mbaya zaidi amezituma muda mfupi tu baada ya kumtumia vocha, Kinachouma sana ni kwamba kazituma akiwa ndani ya gari anakuja kwangu baada ya kumtumia nauli (nilidhani atakuwa ananifikiria Mimi kumbe sivyo mbwa huyu)., Inasikitisha amemshawishi jamaa ikiwezekana abadilishe dini hata kwa kuzuga...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
Back
Top Bottom