jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah

    Nasikitisha Genius Prof Kabudi kuwa Chawa wa hawa jamaa! Dah
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa mchambuzi wa Azam na ana youtube channeli yake IBRAHIM RAHBY uchambuzi wake ni wachumbuzi wa mpira wenye mahaba na timu zao.

    Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani. Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
  3. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu jamaa anatafuta umaarufu au yeye haishi Tanzania?

    Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku vinazidi kushika namba. Huyo Mange mnaemshutumu hatekwi huyo, huyo haishi maisha magumu, hata akisema...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania vp kama jamaa anaamua kulichukua limoja chap na kulichomoa fyuse

    au haya ni ya kutoa tu machozi? hapa ni sawa umkamate mhalifu halafu umuache aendelee kukaa na slaha yake uliyomkamata nayo au inachukua sekunde ngapi jamaa kulifikia hilo bomu akitaka kujitoa sadaka.
  5. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF ) Namnukuu Chadema hadi mjambe cheche. Nilipo waambia watu humu kuwa genge la Rostam Azizi ni hatari ni raia feki waliokuwa na agenda ya kukamata serikali na taifa, wengi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimeiona hii kwenye Instagram jamaa anamjibu Irene Kilango

    Huyu binti analalamika anasema; Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹 Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara letu — lakini la, ni dunia nzima. 😔 Sisi ndiyo kizazi kinacholelewa na wazazi badala ya sisi...
  7. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea mkidhani mpo salama jifunzeni kwa huyu jamaa

    Huyu mwamba pamoja na kuandika taarifa za kampeni za CCM wakati wa kipindi cha kampeni amefunguliwa mashtaka ya uhaini. Kwa mnaotetea mfumo wa ukandamizaji mkidhani haitawakuta, siku yenu itafika. Utakamatwa ukiendesha bodaboda yako kwa kosa kidogo tu la barabarani, na utapigwa na kutupwa huko...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

    Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini jamaa ameiangalia picha kwa uchungu?

    Akiwa ameketi kimya, macho yake yamekazia picha ya kiongozi anayezua mijadala mingi. Uso wake umejawa na fikra nzito, kana kwamba anapima tofauti kati ya maneno na matendo. Ni ukimya wenye ujumbe, ishara ya hasira iliyofika ukomo. Vijana tunatoka na hakuna wakuzui Oktoba 29 tuleta mabadiliko...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaompenda vilivyo jamaa, wamwambie kuwa hapendwi wala hapendezi

    Kuna watu wana ugonjwa wa ukosefu wa ubunifu kiasi cha kugeuzwa wadudu. Watu, sorry, wadudu hawa wana silaha moja tena ya hovyo. Nayo ni kujikomba, kusifia hata ujinga, kujigongagonga, kutabiri upuuzi, kuimba pambio na mashairi tena wamuimbiaye akiwa kipofu na taahira. Je, hapa tatizo ni nini...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jamaa kajichokea kaona kama noma na iwe noma, kajiondokea zake na bango la mama

    Kazini kuna kazi! Kijana kaona asepe na bango Ila watanzania kama kuchoka tumechoka! Sijui hili genge la watekaji na wauaji wanaelewa?
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu jamaa MZUKA WA KUTIKI UNAKATA KABISA.

  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  14. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

    Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie Ina maana kesho naenda kazini by foot. Shikamoo kanji
  15. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama kuna mtu anataarifa za yuke jamaa alikuwa anasambaza vipeperushi vya maandamano kama kakamatwa au la

    Siku ya leo kuna jamaa alikuwa na vipeperushi vingi mno pale kituo kikuu cha train ya SGR. Na alipostukiwa alianza kukimbizwa na kikosi cha Muliro. Yeye alikuwa na Pipi piki amekimbizwa na kila chombo cha usafiri kilicho kuwa karibu. Naomba kujuzwa kwa wenye taarifa yeyote. Naona ile roho ya...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

    Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote. Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance, Sound, Rhyme Schemes, Rhyme Patterns, World Play, Strategic Features & Lyrical Content, all on point...
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  18. 100 others

    JamiiForums Tanzania Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
Back
Top Bottom