DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika.....
"Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi ya makaa ya mawe, chuma, uranium, nickel na cobalt.
Nchi inayoagiza Mpaka gunia la Kubenea viazi.. ndoto za vijana wako zinaangamia, wanaishia kwenye ulevi na uraibu.
Hawa ndio wanaambiwa hawataki kufanya kazi!!!!
Viwanda viko wapi vya kuwaajiri hawa ndio tuone kama hawataki kazi?
Mikopo iko wapi ya biashara na mazingira kwao kufanya biashara zao?
Kama serikali haitaki huo wajibu hiyo sio serikali na haistahili kuwepo"