jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Walisema huyu Nabii Tito ana matatizo ya akili Je, wataweza kumshitaki wakati ni mwehu

    Walisema huyu jamaa ana matatizo ya akili (Insanity). Je, wataweza kumshitaki wakati ni mwehu
  2. JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna foleni. Kuna siku nilimwambia nimefika ili awahi, ingawa nilikuwa bado sijatoka. Akasema yuko njiani...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

    Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta. Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Kisa cha jamaa anaetembea na mke wa fundi kinyozi

    Jamaa mmoja aliingia saluni akakuta Pana watu kama watano na kinyozi wa sita. Akauliza kama kuna foleni kubwa akajibiwa kwamba wanao nyoa ni watatu tu yaani aliyekuwa ananyoa kwa muda ule na wengine wawili waliokuwa wameketi kwenye sofa, hawa wawili wengine walikuwa washkaji zake kinyozi...
  5. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Wakuu mambo ni aje. Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza.. Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana. Binafsi kuna mke...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa haipiti siku sijakutana na tangazo lao la kazi,huwa wana matatizo gani mpaka wafanyakazi wanawakimbia?

    Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
  7. JamiiForums Tanzania Jamaa amwaga chozi kisa kukuta SMS zangu kwenye simu ya mwanamke wake

    Shimboni, 2016- nimetulia zangu mtaani ghafla sister binamu ananiletea kischana kizuri , ananitania kaka nimekuletea mchumba naona umekaa kizembe sana, nikatabasamu, ilikuwa jioni ya saa mbili Tukapiga story tukiwa wote watatu, then nikawasindikiza mtaani kwao, mara mazoea na kile kischana...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna

    Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Leo kumekuwa na Nderemo, Vifijo, Hai hai na Sherehe JF. Hongereni Mods. Huyu jamaa asirudishwe tena

    Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine wakifanya sherehe . Mod uliyefanya hivyo weka namba yako ya simu hapa yufanye tone tone. Chizi Maarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Anakuja Lini?

    Tangu tukiwa wadogo tukiwa tunapiga kelele, story imekuwa ni moja tu jamaa anakuja! Walimu walikuwa wanatupiga mkwara hadi tunashindwa kulala, tukihisi tukifumba tu macho, jamaa huyo hapa getini. Lakini miaka imekata, 2030 hiyo hapo inachungulia, na maisha bado ni yaleyale, foleni za...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hawa jamaa walikuwa wanabinuka binuka kila mechi kwa ajili gani?

  13. JamiiForums Tanzania Andunje mpenda Magoli. Huyu jamaa hatumpendi lakini tukubali. He is something. Hapoi , Haboi

  14. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akili zao wanazijua wao wenyewe!

    Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!? #Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa piiipoo pawaaa....(Kuna wajanja na wajinga miongoni MWAO)
  15. JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  16. JamiiForums Tanzania Hivi jamaa alipotelea wapi?

    Kuna miezi fulani alitokea jamaa Tiktok kwa jina la HABIL and KABIL, aliteka masikio ya wananchi wengi kwa stori zake za kuhusu maandamano, lakini ghafla bin vuu jamaa hasikiki tena. Ilikuaje ama ilikua project ya watu wazito? The same kwa CAPTAIN TESHA alisema tu nitarudi ila hadi leo holaa
  17. JamiiForums Tanzania Unakutana na jamaa kapiga suti imekaa yupo kiheshima, kumbe hajala toka jana usiku

    Hapana lazma upate vidonda vya tumbo siku Wanawake watatumia mgodi waliopewa bure na Mungu Wale wanaume wasiojua kukaza ndo tunawapoteza kabsa kundini, wanahamia upande wa umamani Wale wabishi ndo tunaenda kaz ngumu na kuacha elimu na aibu za kijinga pemben Wale wachagua kaz pia wanaamia...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Huyu jamaa amewashangaza wengi

    Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe: https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  19. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza, Michael Scofield ilikuwaje akawa shoga?

    Kwa wapenz wa movies moja ya series maarufu duniani ni prison break na moja kati ya character maarufu na star humo ni Michael Scofield Huyo jamaa anajua sana. Nikianza kukubali mwanzoni kabisa alipo chukua initiative za kwenda kumwokoa bro wake Lincoln Burrows how alivyo plan, alivyo...
  20. JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…