jaji

  1. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  2. JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  3. JamiiForums Tanzania BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  4. JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Jaji Warioba, ametumia Lugha kama Ile aliyokuwa anatumia H. Polepole..Kifuatacho!

    Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo! Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi! Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Unaposikia kuna mgawanyiko katika vyombo vinavyokulinda unakuwa na wasiwasi

    Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika. "Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

    Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu. Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu kuna swali anauliza MMM, anaomba jibu

    Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

    Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa achaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ)

    Mwanasheria kutoka Kenya, Profesa Phoebe Okowa, amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), chombo kikuu cha kimahakama cha Umoja wa Mataifa. Uchaguzi huo ulifanyika Jumatano Novemba 12, 2025 ambapo Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama vilimpigia kura Profesa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Nshala: Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho lazima aonekane kwa Jaji au Hakimu anayesikiliza kesi

    Mtu anayetoa ushahidi kwa kificho aonekane na jaji' Dkt.Rugemeleza Nshala,mwanasheria mkuu wa CHADEMA amesisitiza hilo mara baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa, Leo shahidi wa kificho wa jamuhuri alikua atoe ushahidi ila mshtakiwa aliweka mapingamizi kwani shahidi huyo alikuwa haonekani hata na...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Mwambegele ameuweka rehani ujaji wake kwa uchaguzi wa kupikwa!

    Jaji Jacobs Mwambegele sasa hivi lazima atatembea kichwa chini popote atakapokwenda. Simply put, Uongo ni dhambi. Kutengeneza majedwali ya uchaguzi ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini, lakini akayatangaza, imempunguzia heshima mbele ya jamii. Kiongozi wa nje kuyadharau matokeo haya ya uchaguzi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kura za Maruhani zikitengenezwa. Jaji Mwambegele, hiki ndo mnawatangazia watanzania?

    Nilikuwa namheshimu sana Jaji huyu, lakini ndo anabariki hiki?
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

    Kauli thabiti: “Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
  17. JamiiForums Tanzania Ni jaji ama wakili atajitoa kwenye kesi ya Lissu?

    Otea ni jaji au wakili yupi atajitoa kwenye kesi ya Lissu? Ni swala tu la muda Kasikilizeni wimbo wa siku hazigandi.
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  19. JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Ndg Wakili, Mwanasheria, Hakimu na Jaji, Hebu Mtueleze Wananchi ni Sahihi?

    Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?. Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?. Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote. Nawasilisha kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…