Kauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka...
Wakuu,
Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi
"Haki sawa kwa wote mapema...
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Neno Jaji, lina heshima kubwa sana Duniani. Na watu wakisikia mtu ni jaji, wanatarajia utakatifu ndani ya huyu mtu. Huyu siyo mtu wa kusukumwa sukumwa tu au kuamrishwa na watawala.
Kuna nchi, jaji mkuu na jopo lake wanao uwezo hata wa kumsimamisha kazi Rais, na kisha kusubiria hatua nyingine...
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu.
Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform
Hapo kuna wateja...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa.
Kwa hali ya...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho.
Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
Watendaji wa Uchaguzi ngazi ya Kata wametakiwa kuitambua na kuithamini dhamana waliyopewa ya kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwenye ngazi hiyo.
Wito huo umetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari leo Agosti 06, 2025 alipotembelea na...
Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!!
Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??.
NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe
Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana.
Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema:
“Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple.
Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University...
Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu.
Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe"
Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili"
Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.