jaji

  1. Librarian 105

    Jaji Mutungi: ni kweli bila shaka katiba mpya haitatekwa na wanasiasa?!

    Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa agizo la Rais la kuagiza kuanza kwa mchakato wa katiba mpya. Rais Samia alimtaka kuitisha mkutano...
  2. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  3. Ngungenge

    Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  4. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amemtua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023. Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
  5. benzemah

    Jaji Manento: Rais apunguziwe mamlaka uteuzi wa Majaji

    Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo hayo jana kwa kwa Tume ya Haki Jinai, iliyoundwa па Rais Samia Suluhu Hassan, kuangalia jinsi ya...
  6. Mmawia

    CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

    Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii. CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama. Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe? Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje? Alafu kuna watu...
  7. BARD AI

    Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  8. B

    Rais wa Mahakama ya Afrika: Nchi wanachama ziheshimu Hukumu za Mahakama ya Afrika bila Visingizio

    20 February 2023 Arusha, Tanzania Jaji Imani Daudi Aboud Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye makao yake Arusha. Leo ameziasa nchi wanachama kutekeleza hukumu zinazotolewa na mahakama hiyo ya Afrika bila visingizio kuwa hukumu hizo haziendani na sera za nchi zao husika...
  9. R

    Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  10. BARD AI

    Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
  11. chiembe

    Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

    Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.
  12. chiembe

    Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
  13. R

    Jaji Mkuu: Toeni taarifa dosari za mahakama zitatuliwe

    Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga. Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
  14. Roving Journalist

    Jaji Mkuu wa Tanzania awashukuru wananchi kwa fedha za kukamilisha majengo ya Mahakama Mwanga na Same

    Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma anazungumza kwenye Uzinduzi wa Majengo ya Mahakama za Wilaya ya Mwanga na Same leo Novemba 15, 2022 Nurdin Hassan Babu - Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Haki siyo lazima upate wewe tu, hata mwenzako akipata haki na wewe unapaswa kukubali. Mwenyekiti...
  15. Ngongo

    Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

    Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022. Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
  16. BARD AI

    Rais wa Afrika ya Kati amfuta kazi Jaji Mkuu aliyekataa kubadili Katiba kuruhusu agombee muhula wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo mwenye umri wa miaka 70 mwezi uliopita kutupilia mbali ombi la chama tawala la kufanyia marekebisho...
  17. BARD AI

    Wahanga wa 'Plea Bargain' waomba Jaji Biswalo asimamishwe kupisha uchunguzi

    Ni baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuthibitisha kuwa ofisi yake imeanza uchunguzi wa jambo hilo na ripoti yake itatoka March 2023. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Ofisi ya CAG imeanza kuwahoji waathirika wa utaratibu huo kuanzia ngazi ya Kata, huku kukiwa na madai...
  18. BARD AI

    Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

    Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu...
  19. Mystery

    Maoni kuhusu Katiba mpya ya Jakaya Kikwete, kwanini hayajawa ya uwazi kama ya Jaji Othman Chande?

    Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi viongozi wawili wakuu, waliochuana vikali Katika uchaguzi huo, William Ruto na Raila Odinga, waliokabana...
  20. BARD AI

    Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
Back
Top Bottom