Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam.
Kesi hiyo...
Wakubwa shkamoni, vijana wenzangu habari zenu.
Sorry guys, namtafuta mama mmoja ambae sijajua nawezaje kumpata wala sina informations zake atakua wapi au mahakama dvtn gani kwa sasa, japo
Sio kwa ubaya, but namtafuta sababu nina jambo la muhimu sana najua kwa 100% ni yeye peke yake anaeweza...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameonyesha masikitiko yake juu ya Jaji anayeendesha kesi yao kutofika Mahakamani na kesi hiyo imepelekwa mbele hadi Julai 10, 2025
Mnyika ameeleza kuwa tayari wameshaandika barua ya kuonyesha kutokuwa na imani na Jaji huyo na kutaka aondolewe na...
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo.
Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania.
Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_
1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata?
Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.
Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.
Sasa hapa ni...
Constitution is supreme, not us': CJI Gavai urges harmony between judiciary, executive, and Parliament | India News - The Times of India
In his first public address since assuming office, Chief Justice of India B R Gavai on Sunday asserted that it is not the judiciary, executive, or Parliament...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza...
YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA
Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo juu. Baada ya kupitia kumbukumbu za mahudhurio ya kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari, 2025...
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.
Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ana Mamlaka ya kukifungia chama chochote kutoshiriki uchaguzi. Pili ni Kwa kutumia kifungu kipi na hicho kifungu hakiendi kinyume cha Katiba.
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Shikamoo Baba yangu. Habari za uzima. Naamini Mungu ametuwezesha kuamka salama ili tuweze kuwatumikia wananchi wetu.
Baba yetu, Mzee wetu — leo nimeona nikujuze tu kuhusu yanayoendelea kwenye mahakama za mwanzo.
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Mahakimu wa mahakama za mwanzo...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake.
Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.