jaji mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Peter Madeleka: Jaji Mkuu hatakiwi kuomba ulinzi, polisi wanawajibika kwake

    Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameshangazwa na majaji kulalamika mbele ya Rais kuhusu usalama wao, akisisitiza kuwa kisheria, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyombo vya Dola na si mali ya Rais au Serikali pekee. Akizungumza na Jambo TV leo, Januari 14, 2026, Madeleka amefafanua kuwa...
  2. kavulata

    Jaji Mkuu Masaju nae halijui hili?

    Kama Jaji na hakimu wakiamua kesi kwa haki na haki imeonekana ikitendeka mbele ya jamii, kazi ya Jaji na hakimu itakuwa kazi kama kazi nyingine tu. Hakuna haja ya hofu kwa majaji. Ujira mdogo hauathiri utoaji haki kwa majaji na mahakimu tu bali hata kwa wafanyakazi wa fani zote. Huwezi kuwa...
  3. Idugunde

    Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  4. Allen Kilewella

    Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  5. R

    Jaji Mkuu, Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni Kiswahili? Is this a pressing need of our judiciary?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
  6. A

    KERO Alichosema Jaji Mkuu hutasikia Mganga Mkuu wa Serikali anakisema kwa niaba ya wadau wake

    Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy. Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
  7. Roving Journalist

    Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  8. Roving Journalist

    Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wanapaswa kujitosheleza kimamlaka na kiuchumi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  9. Roving Journalist

    Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  10. JanguKamaJangu

    Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  11. R

    Jaji Mkuu kuna swali anauliza MMM, anaomba jibu

    Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru...
  12. Just Pray

    Jaji mkuu: Rushwa imekithiri mahakamani, polisi na taasisi nyingine za Serikali

    Jaji Mkuu wa Tanzania, George Mcheche Masaju, amesema changamoto ya rushwa bado ipo ndani ya taasisi muhimu za utoaji haki, akisisitiza kuwa nidhamu na uwajibikaji ndiyo nguzo kuu zitakazosaidia Mahakama kufikia hadhi inayokusudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza Septemba 24, 2025...
  13. K

    Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki

    Jaji mkuu Tanzania ana uwezo mkubwa wa kuwa shujaa kipindi hiki. Achana na uchawa wa mahakama hakuna kazi nyingine kubwa utapata. Weka heshima yako na ya mahakama yako utakumbukwa kama Nyalali. Bila hivyo unaweza vilevile kudhaulisha mahakama.
  14. The Palm Beach

    Jaji Mkuu George Masaju akemea na kuwaonya majaji na mahakimu wanaopindisha haki kwa maelezo kuwa ni "maelekezo toka juu". But, is he really serious?

    Nimemtazama na kumsikiliza Jaji Mkuu George Masaju mwanzo mwisho akiseminisha na kuelekeza majaji wake hapa. Anaonekana kuwa na mtazamo chanya contrary na mambo yalivyo chini ya utawala wa Rais Samia.. Swali ni: Atadumu kweli ktk hiyo nafasi yake kwa tabia yake ya kusisitiza HAKI, HAKI badala...
  15. Mkalukungone Mwamba

    Jaji Mkuu wa Ghana Aenguliwa Kufuatia Tuhuma za Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    Ghana's President John Mahama has fired the country's Chief Justice Gertrude Torkornoo following a recommendation by an inquiry. She had been on suspension since April after complaints were lodged against her in petitions by three individuals. A president-appointed commission then found that...
  16. Sifi Leo

    Kiko wapi CHAUSTA Cha Jemsi Mapalala au alikufa nacho?

    Kiko wapi chama Cha CHAUSTA chama Cha Jemsi Mapalala Hayati Sasa?
  17. McLaren

    Jaji Mkuu Masaju: Kitu mnachoweza kumaliza kwa siku 2 mnasema mpaka miezi 4. Kauli ya mbiu ya haki sawa kwa wote kwa wakati ifuteni

    Wakuu, Akizungumza jana Agosti 18 kwenye katika ufunguzi wa kikao kazi cha taasisi, zinazounda utatu Jaji Mkuu George Masaju ametaka mahakama kuwa na utaratibu wa kumaliza kesi zilizoko mahakamani mapema iwezekanavyo na kuacha kuahirisha ovyo bila sababu za msingi "Haki sawa kwa wote mapema...
  18. M

    Barua ya wazi kwa Jaji Mkuu: Mheshimiwa wananchi wanapoteza Imani kwa mahakama yako

    Ndugu Jaji mkuu: Nakusalimu Hivi karibuni kumezunguka mtindo wa kuibuliwa kwa kesi nzitonzito ambazo zinaonekana dhahiri ni za kisiasa. Tumeshuhudiwa Ndugu Mwabukusi, Dr Slaa na Mdude Nyagali wakifunguliwa kesi ya uhaini. Lakini ukiangalia sababu ya kesi hizo ni kwa sababu ya wao kupinga vikali...
  19. Manyanza

    Taarifa ya makubaliano kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Jaji Mkuu wa Tanzania

    TAARIFA YA MAKUBALIANO Kati ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS) Na Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju Tarehe: 11 Agosti 2025 Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
  20. M

    Agizo la Jaji Mkuu George Masaju ladaiwa kuharibu kesi za polisi mahakama za Mwanzo

    Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana. Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
Back
Top Bottom