Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani.
Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu.
Romero alitoa kauli...
Wanabodi,
Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na kufanya mahojiano na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Februari 24, 2026.
Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za Tume zilizopo ndani ya jengo la...
Wakuu,
Mambo magumu huko😂🤣🤣, hesabu naona kama zile ya Yanga, hata na kalkuleta bado ngoma mbichiiiii!
Hivi kesi ya Lissu inaenda mpaka tarehe ngapi tena?🌚 Jamaa bado anagoma kuingia kwenye Maridhiano ya mchongo?
Maana za ndaaaaaaaaani zinasema Lissu ameshafuatwa gerezani zaidi ya mara moja...
Ni kwamba hakuna chochote kipya kitachosaidia taifa letu.
Watu wameuwawa hadi wakiwa majumbani na kwenye vijiwe vya kahawa wakiangalia Luninga.
Mbona Tume ya Jaji Feleshi ilifunua ukweli wa wauaji Mabwe Pande na wakaachiwa huru?
Sasa ndiyo huaminiki kabisa kabisa. Zile tuhuma kuwa huwezi kumchunguza aliyekuteua ndiyo umezidhihirisha!
Kitu gani hutaki watu wakisikie na kukiona? Kwa sababu ipi?
Labda kwa vile hii si TRUTH AND RECONCILIATION COMMISSION unaweze kuiendesha unavyotaka au waliokuteua wanavyotaka!
Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa...
https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY
Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025....
Hakuna ubishi wowote kuwa ushahidi unawaelemea na hatia ya kuua iko shingoni mwao imewakaba koo.....
Mkakakati ni kutafuta...
KUTOKA kwa Hilda Newton
Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox.
Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza.
Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake.
Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
Utamaduni wa Tume kufanya kazi kwa siri haufai, hasa ikiwa inafanya kazi kuichunguza serikali
Tume ya Jaji Chande kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hadi November 3 , 2025 inapaswa kuwa wazi mubashara umma ifuatilie katika vituo vya televisheni, radio na YouTube.
Ila toka hatua ya kwanza...
Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Othman Chande iliyozunguka nchi nzima mwaka 2023 ilimaliza kila kitu.
Ilishauri mambo mazuri sana ambayo kama yangefanyiwa kazi, utekaji, wasiojulikana, changamoto za mahakama zetu pamoja na haki zingine za raia zingekuwa hazibagazwi na kubanagwa kama...
Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki.
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki.
Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.