jackson

Steven Randall "Randy" Jackson (born October 29, 1961) is an American singer-songwriter, musician, and dancer. Randy is best known as a former member of his family band the Jacksons. Randy is the youngest Jackson brother and the second-youngest Jackson sibling before his sister Janet Jackson. He is the eighth child in the Jackson family.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    TANZIA Kiongozi wa haki za kiraia Jesse Jackson afariki dunia akiwa na miaka 84

    Rev. Jesse Jackson, gwiji wa harakati za haki za kiraia nchini Marekani na mgombea wa zamani wa urais, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84, familia yake imethibitisha. Jackson alikuwa mshirika wa karibu wa Dkt. Martin Luther King Jr. na mwanzilishi wa Rainbow PUSH Coalition. Alijulikana...
  3. Eronda

    JUST IN: CDF Appoints Brigadier Jackson Kajuba

    The Chief of Defense Forces, Gen. Muhoozi Kainerugaba, and Senior Presidential Advisor for Special Operations, has appointed Brigadier General Jackson Pande Kajuba as the new commander of the UPDF Armoured Division in Masaka. He replaces Major General Deus Sande, who passed away after...
  4. TUKANA UONE

    Nitembee na mwanamke ambaye kwa makusudi hakutaka kuniambia kama kaolewa. Ukinifumania nawagonga wote!

    Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi? Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
  5. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  6. Mad Max

    Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

    Movie ya Michael inakuja 2026. Teaser ishatoka. Lions Gate wanasimamia show. Kama haitoshi, Jaafar Jackson ataigiza kama Michael himself.
  7. M

    Mchungaji Jackson Karao: CHADEMA mnayoyapitia tunayaona. Tanzania tunahitaji siasa za vyama vingi kwa vitendo

    Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Jackson Kiswaga achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mhe Jackson Kiswaga amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine ubunge katika jimbo hilo. Mhe Kiswaga amechukua fomu hii leo June 28, 2025 siku moja baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kulihutubia bunge na kutangaza kulivunja rasmi Agosti 3...
  9. Stability

    Yani hadi hit ya michael jackson inazidiwa views na hits kama wakina chino

    Yani miaka 15 ina views 78 tu 🤣
  10. K

    Sura ya Michael Jackson mwili Nyumba

    Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson. Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda...
  11. mdukuzi

    Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  12. Inside10

    Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 .
  13. Mejasoko

    Mapinduzi ya Michael Jackson kupitia album ya kihistoria ya "Thriller"

    Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mfahamu Bubbles, sokwe wa Michael Jackson aliyejipatia umaarufu mkubwa Duniani

    Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood. Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo. Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
  15. M

    Jackson Gomela uko wapi?

    Popote ulipo au mtu yeyote unayemfahamu naomba unisaidie kumpata au kupata taarifa zake. Miaka ya 1987/1988 ilikuwa ukifanya kazi shirika la posta na simu Urambo mjini. Ulihamishwa na kupeleka kituo kingine Cha kazi na ndiyo mwisho wa kupoteza mawasiliano Yako. Kuna taarifa kwamba...
  16. ukwaju_wa_ kitambo

    Michael Jackson - Thriller

    MICHAEL JACKSON - "TRILLER" Mwigizaji na mwanamitindo Ola Ray aliyetokea kwenye Video ya 'Thriller' ya Michael Jackson inadaiwa kuwa alilipwa kiasi cha pesa $2,500 sawa na Tsh Milion 6.8 wakati huo1983 ambazo ni sawa na $8,000 Tsh Milion 21.8 leo. Hata hivyo Ola Ray alisema kwamba alitaka...
  17. Kichuguu

    TITO Jackson

    Member mwingine wa Jackson 5 naye ametangulia mbele ya haki; RIP Tito https://www.youtube.com/watch?v=WHBazbNU78o
  18. Mjanja M1

    Uongo/Chuki ina nguvu sana, Ona kilichotokea kwa Michael Jackson

    Kuna watu walieneza maneno ya uongo kuwa Michael Jackson alivyotua nchini aliziba pua yake na kusema kuwa nchi ya Tanzania inanukaa. Ukweli ni kwamba, MJ hakusema maneno hayo na pia kwenye ziara yake nchini aliweza kuitembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu.
  19. BabuKijiko

    Jackson Mmari: Tatizo la Rushwa linaanza na Mtazamo wa Mwananchi mwenyewe

    JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
  20. Mjanja M1

    Video: Angalia hapa jinsi Michael Jackson alivyorudishwa na Mchungaji Mfalme Zumaridi

Back
Top Bottom