Video: Angalia hapa jinsi Michael Jackson alivyorudishwa na Mchungaji Mfalme Zumaridi

Tanzania kuna raha sana.

Wazungu wakiona hivi wanafurahi kabisa kuwa wanasesere wao wanazidi kufuzu katika uendawazimu.

Waliokuja kuhubiri dini nina hakika hawakufikiria watakuja kuwa na mafanikio makubwa kiasi hiki katika kuwafanyia watu kiini macho.

Hapo ukute waumini walienda kuhadithiana majumbani kuwa Mfalme kamleta Wacko Jacko kanisani🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom