Habari Tanzania !
Mnataka mawazo ya vijana, ishi nayo hii wewe mwenye nguvu na mamlaka Tanzania.
Naomba kupendekeza kuwa; Watanzania wote wasajiriwe nchi nzima. Tuwe na data za taarifa zao kuanzia Watu waliopo, wanaozaliwa, kufa, umri, Jinsia, Elimu, Kazi, nk ili tunapoweka mipango ya...