Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni.
Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani wa Italy, amesema vikwazo dhidi ya Urusi havina maana, maana Urusi haiathiriki pakubwa kulinganisha na walioiwekea vikwazo(Ulaya).
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..
Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya)
Game litachezwa tarehe 1/june, saa 3:45, usiku.
Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki
Suti zetu ni slim body
Size 32mpka 40 unapata
Kwa bei ya Tsh 250,000
Utapata koti kizibao na suruali
Tuko kariakoo
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Whatapp 0657710078
12 October 2021
Rome, Italy
In an exclusive interview with Vatican News Liberata Mulamula Rutageruka Minister of Foreign Affairs and Cooperation in East Africa of the United Republic of Tanzania, highlights the important results of the third edition of the Italy-Africa Ministerial Conference...
Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe.
Kilimo biashara ndio mwendo sasa.....
=================================
Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
Salama wakuu,
Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatoki. Huyu jamaa ni muitaliano. Mzungu Og kabisa yaani
Kwa jinsi alivyokuwa na list ya...
Inter Milan imetwaa ubingwa wa Italy baada ya miaka 11 kupita na kumaliza utawala wa Juventus ambayo imetwaa ubingwa kwa Mara kumi(10) mfululizi.
Mara ya mwisho inter kutwaa ubingwa ni msimu 2010/11 Chini ya kocha Mourinho na leo imetwaa ubingwa chini ya kocha Antonio Conte baada ya Atalanta...
EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni.
Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza tena uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya mwaka mmoja na nusu, wakimrudisha Balozi wa Italia...
Naangalia tu hapa ivideo cha online kuna mtu mmoja anaongea sana kwenye hii habari kuhusu koti na hilo koti limewekwa kwa euro nyingi sana ni uongo.
Kuvaa Koffi hana jipya ndio maana nguo zake hamzielewi ye anavaa modo na zile za bei kali always na instructor wake ni Papa Wemba(Le Sarpeur)view...
WSF: Italy signs Kenya's debt cancellation
Home / APC Talk / WSF: Italy signs Kenya's debt cancellation
By APC | 23 January 2007
At the World Social Forum the International Alliance of Inhabitants (IAI) entered in a dialogue with the Italian Minister for Development Co-operation, Patrizia...
Imagine Klabu ya soka ya AS ROMA ya nchini italia ina ukurasa maalum wa twitter wa kiswahili na hata tarehe 24 july walitoa hisia zao kuhusiana na kifo cha Rais mstaafu B.W. Mkapa, ni wakati sasa wa vilabu vyetu kuwa na kurasa maalum za Kiingereza.
Nchi ya Italia inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G sawa na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya
Mwaka jana Italia ilitoa green light kwa kampuni ya Huawei kushiriki kwenye uanzishwaji wa 5G nchini humo.
Sasa kutokana na shinikizo kubwa la Marekani kwa nchi washirika kuachana na Huawei...
Moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa.
Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu kuwa Corona imetangazwa kuwa imedhibitiwa Tanzania, pasipokuwapo na takwimu zozote rasmi za kimaabara hadharani.
Ninaandika uzi huu nikiwa ninafahamu mafanikio haya makubwa ambayo Tanzania imeyapata...
1. Vyafikia 29,427
2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya
Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote
=====
UK overtakes Italy to record highest coronavirus death toll anywhere in Europe
A member of the UK ambulance service wearing personal...