itakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania 2025 Kampeni zake itakuwa, Nipeni kura nikarudishe nchi mikononi mwenu, huku ni kusema ccm imeturudisha utumwani!

    Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa kwenye Kampeni za 2025, itakuwa ni hilo ndipo yafuate mengine, Hii ni sawa na kusema! Ccm imetuuza...
  2. JamiiForums Tanzania Sendoff ya Yanga imefanyika kwa Mkapa, Harusi na kuvaa Madela/Medali itakuwa Algeria Jumamosi

    Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers. Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
  3. JamiiForums Tanzania Jidanganyeni kuwafunga kwao Club Africaine na Marumo Gallants itakuwa hivyo pia kwa USM Alger

    Nawasikia tu mnavyodanganyana na kupeana Moyo katika Vijiwe vya Mitaani na humu Mitandaoni. Wenye Akili na tunaojua Mpira tunajua kuwa tayari USM Alger FC kwa 85% wameshakuwa Mabingwa wa CAFCC kwa Msimu wa 2022 / 2023. Imeisha hiyo...!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

    Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5. Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha. Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Marumo Gallants wapo nyumbani kuwaalika Young Africans katika mchezo wa marudiano ya nusu fainali ya CAF Confederation Cup kwanzia saa 1:00 usiku kwa hapa nyumbani Tanzania. Mechi ya kwanza iliyopigwa juma moja lililopita Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. Hivyo matokeo yoyote ya ushindi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  7. JamiiForums Tanzania Pasaka itakuwa tarehe ngapi

    Wakuu nipo gizani. Pasaka ni siku gani na tarehe ngapi?
  8. JamiiForums Tanzania UFC 287: Israel Adesanya vs Alex Pereira II. Stylebender akipoteza itakuwa mwisho wa career yake UFC (?)

    Pambano ni Jumapili tarehe 9 April, 2023. 5:00 AM GMT Israel Adesanya aka The Last Stylebender Record: 23-2-0 HEIGHT: 6' 4" WEIGHT: 185 lbs REACH 80" STANCE: Switch DATE OF BIRTH: Jul 22, 1989 NATIONALITY: NIGERIA/NEW ZEALAND Ikumbukwe pambano lililopita UFC 281 Israel Adesanya alipoteza...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

    Mimi nawaza watakuwa wanajadili kuwa, ule umeme uliozingua jana angekuwepo jiwe kuna watu wangeliwa kichwa. Karibu utiririke na wewe
  11. JamiiForums Tanzania Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

    Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  14. JamiiForums Tanzania Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  16. JamiiForums Tanzania Mayele akiacha uchoyo wa pasi Yanga itakuwa inafunga magoli mengi kimataifa

    Kwanza niwapongeze wamanchi wenzangu kwa ushindi huu, Pili kwa vibunda tulivyoahidiwa kwa kila idadi ya goli 5M. Pili mayele ametufelisha sana leo, anachelewesha mipira, anataka kufunga magoli yeye kama yeye hata kama kuna nafasi ya kutoa pasi. Vionfozi wangu wa Yanga naamini mtamuelekeza...
  17. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

    Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏. Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye mahojiano yake Lissu hajaonesha ni kivipi CHADEMA itakuwa mbadala wa CCM

    Nimeisikiliza kwa makini ile interview ya Tundu Lissu na ITV jana jumatatu saa tatu jioni. Tundu Lissu naona kama amekuwa confused. Namwonea huruma kwa jaribio la maisha yake, si hali nzuri binadamu kuipitia kamwe. Lakini yote bin yote, Lissu hajonyesha ni kwa vipi CHADEMA inaweza kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Balance ya maendeleo ikikosekana Dar itakuwa kimbilio la kila mtu mpaka wasio na ajira

    Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar. Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa za majukwaa awamu hii ya Rais Hassan itakuwa ni vioja

    "Political manipulation with protection and defence" Chadema iliyolamba asali, ACT iliyolamba asali, NCCR na CUF za Msajili, na vyama vingine mdebwedo, jiandaeni kwa vichekesho. Mimi sio mtabiri ila hali ndio itakuwa hivyo, hii inaitwa awamu mpito na awamu mseto. Tanganyika haina furaha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…