ist

  1. profesawaaganojipya

    Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model

    Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu 1.uimara wa gari kwa ujumla 2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri. 3.ulaji wa mafuta 4.udhaifu wake 5.kutulia barabarani shukrani wakuu.
  2. system hacker

    Kwa mwelekeo wa uchumi Tanzania 'Toyota Aqua' mbioni kudondosha soko la 'Toyota ist'

    Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana. Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid. Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa kama central attacker huku vitz akitokea pembezoni mwa uwanja kama winga. Kutokana na mabadiliko...
  3. H

    Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
  4. H

    Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

    Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model. Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu. Nimepeleka gari kwa fundi hivi...
  5. B

    Naweza kupata vioo vya site mirror pekee vya IST

    Habari wakuu, Wapi naweza kupata vioo vya site mirror ya IST vioo vyangu watoto wa mtaani walirusha jiwe kikapasuka Site mirror ni nzima, kioo ndio kina tatizo
  6. Samatime Magari

    🚗 IST ilivyoleta kizaa zaa Coco Beach

    Siku moja miaka ya nyuma kidogo Jamaa mmoja aliingia pale Coco beach mida ya mchana na IST yake, sasa alipofika alikuta parking imejaa ila katika kutafuta jamaa wa parking akamuita, Kulikua na spot moja kwenye mchanga mchanga na kulikua na gari za juu zimepark pale.. . Yule jamaa wa parking...
  7. mr man city

    Wataalamu wa IST naomba calculations hapa

    IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
  8. F

    Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

    Habari wadau. Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu. Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST. Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na...
  9. GOLOKO

    Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

    Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
  10. JanguKamaJangu

    TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  11. A

    OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  12. B

    Battery ipi ni nzuri kwa N60 ya IST

    Wadau napenda kujua battery nzuri ya gari. Nilinunua TOP POWER hata miezi 7 haijafika inazingua mara asbh igome kuwasha gari. Msaada kwenye tuta
  13. Kitimoto

    Nataka kubadili Tairi kwenye gari la Toyota IST Size 195/60R16 kwenda size kubwa inayofaa

    Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari. Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja nazo zinapendeza sana. Ni size gani itafaa? Sitaki tairi za Kichina.
  14. kufaana

    Car4Sale Nauza gari aina ya IST

    Manufacturer: TOYOTA Model: IST Year - 2002 Engine Size: CC 1490 Mileage: 154991 Transmission: Automatic Colour: Grey Fuel: Petrol PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 ) MAWASILIANO : ᴄᴀʟʟ ı ᴡʜᴀᴛsᴀᴘᴘ ı ѕмѕ: +255658090789
  15. Nyuki Mdogo

    Car4Sale Ist namba DBH kwa milioni 7 tu

    Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs. Picha ninazo hizi tu
  16. Bangila

    Nahitaji Toyota IST bajeti 7 Milioni

    Wakuu NAHITAJI mtu mwenye gari aina ya Toyota Ist aniuzie. Iwe Cc 1290. Isiwe imerudiwa rangi au kusushwa injini. Namba DF na kuendelea. Awe mwenye gari sio dalali. Mwenye nayo anicheck- PM
  17. B

    Serikali iangalie matumizi ya IST, Subaru,Altezza, Vitz na usafiri unaofana na hivyo vitu. Kuna Majanga mengi

    habari zenu watanzania? nimerud nilikuwa busy sana na mikutano ya kimataifa USA,UK,Canada, Sweden, Egypt, South AFrica, Nigeria, Russia na France. nashukuru angalau nimerudi kwa week moja hivi nije angalia mnaendeleaje hapa nchini. naambiwa tu kuna joto n.k. sijui maana sijapata nafasi ya kuwa...
  18. Ramon Abbas

    Car4Sale IST no DMU inauzwa 8.5mil

    Ist DMU Full document Full Ac Cc 1490 Price M8.5 0713096076 simu moja unakagua gari, at Yombo Dar es Salaam.
  19. ommytk

    Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Back
Top Bottom