ist

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya Toyota Brevis na IST ipi inaweza kuishi miaka mingi?

    Ukiitaja tu Toyota Brevis kila mtu atakwambia hill ni jini. Linakunywa mafuta mengi, vipuri vyake bei juu na havipatikani kwa urahisi. Atakushauri ununue IST au magari mengine madogo. Sasa naomba msaada wenu ipi ni gari ina weza kudumu muda mrefu kama zote zitapata matunzo sawa?
  2. magnifico

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kabwili: “Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”

    ”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umewahi kumlaghai ukimtaka atafute kadi ili asiweze kucheza katika mchezo wa watani wa jadi na kimuahidi akifanya hivyo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania IST ina tatizo la coolant kutorudi kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank

    Habari Wakuu! Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
  4. mambo_safi

    JamiiForums Tanzania Natafuta IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber

    Mwenye IST au VITz ya kukodi kwa ajili ya uber tuwasiliane! Nitamletea hesabu nzuri. Gari langu liko kwenye matengenezo makubwa! 0738969673
  5. Magari Aina Zote

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine. Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
  6. IFRS

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    Meya Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST alilofanikiwa kulinunua hivi karibuni tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata gari hilo ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda mrefu kwani amekuwa hana gari na amekuwa akitumia gari la serikali na kwa muda mwingine inamlazimu...
Back
Top Bottom