israel

  1. JamiiForums Tanzania Faida ya mgogoro wa Israel na Palestine kwa Misri

    Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA. Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana. Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekataa pendekezo la Hamas la kusitisha vita na kuwaachilia mateka ili kubadilishana na kuondoa majeshi ya Israel, kuwaachilia wafungwa na kukubali utawala wa kundi linalojihami la Gaza. Netanyahu, ambaye anakabiliwa na shinikizo la ndani la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

    Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

    Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita. Katika hali hiyo...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel walifanikiwa kufika nchi ya ahadi?

    Wadau hamjamboni nyote? Nitoe pole kwa wote mlioathirika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Naomba kujua Kwa lengo la kupata Elim.u. Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel wakitokea utumwani Misri walifanikiwa kufika nchi ya ahadi yaani Kanani? Na kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kwamba humo kwa waliouawa na Israel, kunaye jenerali wa Iran

    Wanaendelea kuwahishwa kwa mabikira.... Generals among 5 IRGC commanders killed in alleged Israeli strike on Damascus A security source in a network of groups close to Syria's government and its ally Iran told Reuters the multi-story building was used by Iranian advisers supporting President...
  7. JamiiForums Tanzania Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Israel yafukua makaburi kutafuta mateka.Hakuna aliyepatikana mpaka sasa

    Jumla ya maeneo 16 ya kuzikiana watu huko Gaza yamefukuliwa na jeshi la Israel kwa kile wanachokiita kutafuta mateka. Pamoja na kufukua makaburi hayo vile vile katika baadhi ya maeneo wamejenga kambi zao za muda juu ya makaburi hayo. Kitendo hicho kimewashangaza watetezi wa haki za binadamu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiyahudi afanya uchunguzi wa DNA na kugundua hana uhusiano wowote na Israel ya kale

    Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale. Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
  10. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

    Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
  11. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Palestina wanukia. Waziri wa baraza la vita la Israel asema Netanyahu haeleweki na Hamas haishindwi

    Maamuzi ya kudai uhuru kivitendo iliyofanya Hamas yanaanza kuzaa matunda japo yamepatikana kwa gharama kubwa sana ya vita kuliko vita vyote. Waziri muhimu katika baraza la kuongoza vita nchini Israel,Gadi Eisenkot amesema malengo halisi ya vita kati ya Israel na Hamas hayako wazi na anayeyajuwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania News alerts: Jeshi imara la Israel lamuua Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha kigaidi cha Wapalestina cha slamic Jihad

    Hamjamboni nyote Taarifa kamili ipo hapo chini ya operesheni iliyofanywa na IDF huko Gaza. Kazi nzuri ya kusafisha magaidi inaendelea vizuri FRIDAY, JANUARY 19, 2024 IDF: Deputy head of Palestinian Islamic Jihad’s propaganda unit killed in Gaza airstrike The IDF and Shin Bet security...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

    Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
  14. JamiiForums Tanzania Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  15. JamiiForums Tanzania Mapigano makali yaibuka mpakani na Israel. Makombora ya Hamas yatua miji ya kusini ya Israel huku makubaliano mapya kuhusu misaada ikifikiwa

    Ikiwa ni siku ya 110,zaidi ya miezi 3 tangu vita vianze mapigano makali yameripotiwa kwenye mpaka wa Israel na Gaza na kupelekea Israel kuamua kurudisha baadhi ya vikosi ilivyokuwa imeviondoa kaskazini ya Gaza. Katika mapigano ya jana Hamas ilifanikiwa kurusha makombora kadhaa kulenga maeneo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  20. JamiiForums Tanzania Maiti za watu kila sehemu Gaza. Wapo wanaokufa kwa silaha za Israel na wapo wanaokufa kwa njaa

    Takwimu za vifo Gaza ni kubwa mno kiasi kwamba inakadiriwa kati ya kila wapalestina 20 mmoja kati yao ameuliwa. Suala la vifo zaidi ya 100 na baadhi ya siku mpaka 700 ni kitu cha kawaida.Kuna wajumbe wa UN wanasema hawajawahi kushuhudia uwiyano wa vifo namna hiyo katika vita vyovyote duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…