israel

  1. Israel bila Marekani na sawa na M23 bila Rwanda

    Niaje waungwana Ukiangalia vita anazopigana Muisrael pale Mashariki ya kati, utakubaliana na mimi kwamba anazopigana zina mkono mkubwa wa Marekani. Kuanzia silaha, bajeti ya jeshi, madawa ya kutibu majeruhi wa kivita, vyote vinatoka vinatoka Marekani. Inawezekana hata hao wanajeshi wanaopigana...
  2. Marekani na mwanae israel

    1. Marekani na Migogoro ya Mashariki ya Kati Iraq (2003): Marekani ilivamia Iraq kwa madai kuwa Saddam Hussein alikuwa na silaha za maangamizi (WMD), jambo ambalo baadaye halikuthibitishwa. Vita hiyo ilisababisha vifo vya maelfu ya raia na kusababisha hali ya machafuko. Libya (2011): Marekani...
  3. Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia'

    Mshauri wa kiongozi Ali Shamkhani, aliyejeruhiwa katika uvamizi wa Israel, anasema 'alfajiri ya ushindi imekaribia' Kukomesha uvumi, Admiral Ali Shamkhani, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, amethibitisha kuwa anauguza majeraha aliyoyapata katika uvamizi...
  4. Kwanini Israel inafanya huu unyama na Dunia iko kimya tu?

    Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
  5. Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  6. Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement. Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia...
  7. M

    Wanasayansi wa Israel wasema kwa kitendo cha Iran kupiga kituo chao kikuu cha utafiti, Imeirudisha nyuma Israel miaka kadhaa nyuma kiutafiti

    Baada ya Ballistic missiles za Iran kupiga kituo kikuu cha utafiti cha Weismann na kukisambaratisha. Wanasayansi wa Israel wamesema kuwa sample nyingi sana za utafiti zimeharibiwa, wameweza kunusuru chache ila nyingi sana hawawezi kuzirudisha. Akasema kuwa watahitaji miaka kadhaa ili kuweza...
  8. Israel ya sasa ni ya waisrael au wazungu wanaojifanya waisrael?

    Ukisoma historia ya waisrael, ni waarabu wenye dini tofauti baina yao na waarabu wenzao ambao ni waislam nao wayahudi. Ila ukaingalia wengi wanaojiita waisrael kama akina Netanyahu, unagundua kuwa ni wazungu tu waliotoka huko kwao na kuja kujifanya wayahudi. Je ndiyo maana wazungu wenzao...
  9. Israel huwa inapiga mabomu spitali za Gaza. Jana spitali yao nao imekula kombora la Iran!

    Now, make it make sense. Israel huwa ikilipua spitali za Gaza inadai kwamba jengo lilikuwa linatumika kama command center ya Hamas, etc. Jana/ mapema leo Iran nayo imerusha kombora kwenye moja ya spitali huko Israel na viongozi wa Kiyahudi wanalialia kuwa Iran imecheza rafu 🤣. Well, mi nahisi...
  10. Israel wiki ijayo Israel akishapokea tu mzigo wa Bomu la Bunker Buster kutoka kwa USA basi IRAN ni chali

    Unaambiwa hivi hili bomu lina uzito wa kilo 13K sawa na zaidi ya tani 13, na linabebwa na mdege wa kivita wa marekani B-2 Stealth Bomber na ndo Israel anasubiri apokee mzigo kisha amnyeee Ayatollah kwenye vinu vyake vya nyuklia.... Unajua kwa nini!? Ni kwamba Israel keshamgaragaza kwa kunyea...
  11. U

    News Alerts Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours

    Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Thursday, June 19, 2025 Israel expecting US decision on joining Iran strikes in 24-48 hours, says official By Lazar Berman Follow Today, 7:10 pm 2 Israel still expects that US President Donald Trump will join the strikes against...
  12. What if kama Mossad ndio wanalipua Israel na kuisingizia Iran?

    I have this intuition kwamba Mossad ndio wana lipua mabomu Israel na kuisingizia Iran, huku lengo likiwa ni kupata justification ya kuingia kwenye full scale war with Iran. My intuition is rooted from my personal understanding of Mossad's ' mode operandi". Ukisoma vitabu vilivyo andikwa na...
  13. M

    Iran yaiondolea Israel Confidence iliyokuwa nayo

    Siyo siri, Israel ilishaanza kujisahau, ilidhani yenyewe ni superpower tayari, kumbe ni ka entity fulani ambako survival yake hapo middle east inategemea kulindwa, kukingiwa kifua, kupetiwapetwa na west. Kitu ambacho Iran kamfanyia Israel, kamwe Waisrael hawatakisahau. Israel ilidhani iko...
  14. Taifa la ISRAEL halitambui Ukristo; na hata Yesu wanamuona ni "MHAINI".

    Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi (ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini ya Kiyahudi) hawakumkubali Yesu kama Masihi (Masiha) kwa sababu...
  15. Iran yaishutumu Israel kudukua televisheni ya taifa

    Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti Jumatano kwamba Israel ilidukua kwa muda matangazo ya televisheni ya taifa, na kuonyesha picha za maandamano ya wanawake pamoja na wito kwa wananchi kujitokeza mitaani. Kwenye chaneli yake ya Telegram, gazeti la Hamshahri lilishiriki video ya tukio hilo...
  16. David Barnea: Mjue Boss wa MOSSAD aliye nyuma ya mashambulizi ya Israel kwa Iran

    David Barnea ni Mkuu wa Mossad (Shirika la Ujasusi la Israel) tangu Juni 2021. Hapa kuna muhtasari wa CV yake kwa ufupi: 1. MAELEZO YA JUMLA: Jina kamili: David (Dave) Barnea Tarehe ya kuzaliwa: 1965 Nchi: Israel Kazi ya sasa: Mkuu wa Mossad (2021–mpaka sasa) 2. ELIMU: Alisoma...
  17. Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  18. Kwanini Iran haitumi majeshi Gaza (Hamas) na Lebanon (Hezbollah)? : Ifahamu zaidi nchi hii inayopigana vita mtawanyo (asymmetric warfare)

    Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha, pesa, wakufunzi na hata kuathiri maamuzi ya makundi kama Hezbollah na Hamas, bado haijawahi kutuma...
  19. X

    Kwa nini China haijaisaidia Iran kwenye vita vyake na Israel?

    Wengi wamekuwa wakisema China sio mshirika wa kuaminika kwa Iran. Ila tatizo liko kwa Iran yenyewe Kwanza kabisa China haina ushirika wa kulindana na Iran na wala hawajawahi kusign bilateral security and defence partnership. China ikiwa bado haina nguvu kubwa za kijeshi kama sasa imewahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…