israel

  1. M

    Movie ya The dictator (2012) ilitabiri hili tukio lililotokea kwenye vita baina ya Iran na Israel

    Hii ni baada ya Iran kurusha kombora moja matata sana. 😆 "They" waliotajwa ndio hao hao Israel😀
  2. R

    Watanzania 42 waliokwama Israel kisa vita kurejea nchini leo

    Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia Serikali ya Tanzania imesema Watanzania hao watawasili nchini katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza limewasili...
  3. Prof_Adventure_guide

    Mgogoro wa Iran na Israel: Chimbuko la kihistoria, wahusika na sababu halisi za vita baridi na vita vya kivuli

    Katika sura ngumu ya siasa za Mashariki ya Kati (Middle East), hakuna mgogoro uliojaa migongano ya kiitikadi, kijeshi, na kijasusi kama ule baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Taifa la Kiyahudi la Israel. Vita hii isiyo rasmi – proxy war – imedumu kwa zaidi ya miongo mitatu, ikiendeshwa kwa...
  4. ELI COHEN

    SI KWELI Iran wameanza kunyonga watu wanaowashutumu kushirikiana au kuisifia Israel wakati wa vita

    Wamekabwa koo vita nzima sasa wameanza kuua wenzao kwa hasira ya kushindwa🤣🤣
  5. F

    FULL MATCH: ISRAEL 4 IRAN 1

    Mechi imeanza Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa...
  6. enzo1988

    Kwa yanayoendelea Mashariki ya kati, bado unaamini kuwa Yaweh (Israel) na Allah (Muslim) wana nguvu???

    1) Yahweh name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,” https://www.britannica.com/topic/Yahweh Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
  7. Mlaleo

    Drone za Mwisho kurushwa na Iran asubuhi kabla ya usitishaji wa Vita hatimae za karibia kufika Israel zadunguliwa

    28m ago Israel claims intercepting drones ‘apparently from Iran’ Live Update From the Liveblog of Tuesday, June 24, 2025 IDF downs 2 drones likely launched from Iran before ceasefire By Emanuel Fabian Today, 11:24 pm Two drones launched from Iran at Israel were intercepted by the Israeli...
  8. Beira Boy

    Tuombe aman huku Iran akiwa katulizwa Israel aendelee kuuwa waarabu wasio na hatia huko Palestine, waarabu wa Sudan nao waendelea kuchinjana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
  9. The Zanzibar Echo

    Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

    Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano. Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano." Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi...
  10. The Zanzibar Echo

    Trump aitaka Israel kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran. Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
  11. MK254

    Mwanasayansi wa nyuklia Iran aliyekua amejificha kwa wakwe zake, auawa na Israel

    Jamaa wanasakwa popote =========== Mwanasayansi mashuhuri wa nyuklia kutoka Iran ameuawa katika shambulio la anga la Israel, kwa mujibu wa televisheni ya taifa ya Iran, na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa wanasayansi wa nyuklia wa juu waliouawa katika mashambulizi ya Israel katika kipindi cha...
  12. MK254

    Mkuu wa kikosi cha Basij, Iran auawa na mabomu ya ndege ya Israel

    Huyu naona ceasefire ingemnyima fursa ya mabikira, ashukiru... ========== Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulio la Israel lililotokea siku moja kabla lilimuua kamanda mwandamizi wa kikosi cha wanamgambo wa Basij, ambacho kinahusishwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
  13. Komeo Lachuma

    Israel na Marekani wametaka walichokuwa wakitaka

    Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus. Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka...
  14. U

    Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
  15. Tanzanians

    Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Iran wamejitafutia matatizo

    Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
  17. ELI COHEN

    Kama waifanyiavyo Israel, nilitegemea kuona al jazeera wanaishutumu siku nzima Iran kwa kurusha makombora katika anga yao.

    Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri. al jazeera ipo nchini qatar. Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran. Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
  18. Nyani Ngabu

    Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran. Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana. Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni...
  19. fimboyaukwaju

    Siamini kama ayatollah khamei anaongoza vita na israel

    Ayatollah ana miaka 86,kwa umri huo sijui kama ana uwezo wa kujua nini kinatokea.Ahhh ni khamenei sio khamei,kumradhi
Back
Top Bottom