israel

  1. The Father of All

    Kwanini Marekani haijifunzi na inatumia kikagosi chake Israel na kuigopa Iran bila kujifunza toka Afghanistan na Iraq?

    Kwa wanaojua kilichotokea Afghanistan ambako magaidi wa kitaleban sasa wanatesa huku Irak ikigeuka taifa lililofeli, watakubaliana nami kuwa Marekani licha ya unafiki na woga, inaonekana kutokuwa na uwezo wa kujifunza. Vita vya Afghanistan na Irak viliigharimu Marekani jumla ya dola trilioni...
  2. Munch wa Annabelle

    Iran ni mtoto wa kambo na Israel ni junior

    Hii vita ukiweka mambo ya udini na kushirikisha akili Kwa undani utagundua mambo mengi ambayo yanampa aueni Israel na wakati mgumu Iran katika kushambuliana na kubwa zaidi ni hili. Ukiangalia jiografia ya haya mataifa mawili utapata jibu kuwa ISRAEL kupitia msaada kutoka Kwa washirika wake hasa...
  3. W

    Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  4. Frank Wanjiru

    Trump aizuia Israel isimuue Ayatollah

    Habari za hivi punde zinasema Israel ilishamuweka kwenye target Ayatollah wakawaambia Wamarekani Trump akagoma.
  5. W

    Ni rahisi Israel kushambulia viongozi wa Iran sababu wananchi wengi wanaichukia serikali, wairan wanaiona Israel kama mkombozi

    Ni sawa na vita ya Kagera, waganda wengi walikuwa wananchukia Idi Amini waliiona Jwtz kama mkombozi na walikuwa tayari kuisaidia kwa lolote japo kwa usiri kwa hofu ya hasira za kujulikana. Na ndio maana ukifuatilia vita inayoendelea Iran, unamuona Israel hana muda kushambulia wananchi wa...
  6. The Zanzibar Echo

    Iran: Tutasitisha mashambulizi Israel itakapoacha uchokozi

    Waziri wa nchi za kigeni wa Iran ameashiria nia ya kusitisha mashambulizi ya makombora dhidi ya Israel, akisema wanashambulia tu kwa ajili ya kujilinda.Kulingana na shirika la habari la kitaifa la Iran, IRNA, Abbas Araghchi amesema wamerusha makombora hayo tu kutokana na uchokozi wa Israel...
  7. W

    Mkuu wa intelejensia wa Iran na naibu wake wauawa baada ya Israel kulipua chumba chao cha siri katika jengo la wizara ya intelejensia

    Mods tafadhali sana msiunganisha mijadala inayohusu matukio makubwa ya kiusalama kama kuuawa kwa mkuu wa jeshi au waziri. Haya ni matukio ya kipekee tofauti na milipuko ya kila siku, mambo haya yanahitaji kujadiliwa kwa muktadha wake maalum, Cheo hicho ni sawa na mkuu wa usalama wa taifa wa...
  8. Minjingu Jingu

    Israel kuhusu tukio la octoba ilituchezea akili. Ilishirikiana na Hamas wahuni kuteka wale watu ipate sababu

    Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
  9. Komeo Lachuma

    Kwa haya yanayoendelea Israel vs Iran na Ukrain Vs Russia nimejifunza mengi. Hawa jamaa hapa pichani hatupo nao tena Duniani. Nimelia sana

    Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing. Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
  10. Webabu

    Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

    Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza. Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
  11. MK254

    Tuwe makini na nguvu ya maneno, kiongozi wa Iran aliwahi kusema Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia

    Leo ni siku ya kina baba duniani, mojawapo ya kitu nimeskliza kwenye ibada ya leo ni umuhimu sana wa sisi akina baba kuwa makini sana na kinachotoka midomoni mwetu, maneno hukata kuliko hata mabomu au upanga. Ikumbukwe kuna rais wa Iran aliyewahi kusema anatamani kuona Israel inafutwa kwenye...
  12. Mhafidhina07

    Nyie mnaomsema Iran kuwa anapiga popote mnajua backup ya Israel kutoka nchi nyengine?

    Kama hatujui bora tunyamaze ila tutambue kuwa Israel anapata sapoti ya kupita kwenye anga za nchi tofauti na kupiga katika anga la Irani,kama Israel angetumia mabomu ya mbali basi zile system za kuintecept mabomu za Irani zingekuwa vyema na Israel angeshindwa mapema. Israel anafanikiwa kupiga...
  13. M

    Jinsi Iran ilivyoiingiza mkenge Israel ikadhani kuwa imemaliza ulinzi wa anga wa Iran

    Jana Israel ilijidanganya kuwa imepiga na kumaliza ulinzi wa anga wa Iran na kwa hivyo inaweza kufanya lolote. Kumbe hilo lilikuwa uongo, ni mchezo ambao Iran iliucheza ili kuiingiza mkenge kwa kujifanya ulinzi wake wa anga umekwisha. Kilichofanyika kumbe Iran ina decoys (midoli) ya air...
  14. Sir John Deere

    Israel inalalamika kuwa Iran anashambulia raia Je kule Gaza Israel alikua anashambulia Nini?

    Hii Dunia ina unafiki mwingi sana. Leo Israel analalamika Iran anashambulia wanawake na watoto wakati yenyewe hapo jirani Gaza imewaua maelfu ya wanawake na watoto wasiyo na hatia. Nasema hivi Iran usipangiwe na mtu sehemu ya kupiga. Popote unapoona panafaa we tandika tu. Dawa ya mtoto mjeuri ni...
  15. enzo1988

    Kuna maafa makubwa huko Israel!

    Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete! Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel' Sunday 15 June 2025 04:14, UK...
  16. MK254

    Israel yasema Ayatollah atauawa muda wowote

    Kwamba kifo cha huyo mzee na lile gauni lake kinaweza kutendeka.... An Israeli official told the Wall Street Journal on Saturday that Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei is "not off-limits" in Israel's ongoing efforts to dismantle Iran's nuclear program. This statement underscores Israel's...
  17. MK254

    Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  18. MK254

    Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  19. F

    Kama Iran anataka kupambana na Israel basi awekeze kwenye ujasusi zaidi kuliko makombora na drones

    Tumeona kwa miaka mingi Iran akiwekeza heavily kwenye misile technology na drone technology sababu ndoto yake ni kuja kuvurumusha makomora yenye vichwa vya nyuklia tel aviv na Jerusalem, ila anachosahau ni kwamba adui yake amemzidi kwanye teknologia zote na ujasusi na ushushushu.. Hii...
  20. Technophilic Pool

    Propaganda katika vita ya ISRAEL Vs IRAN

    Kwene vita Majeruhi wa kwanza wa vita hua ni Ukweli. Mimi technophilic nitafanya kazi ya kuverify Ukweli na Propaganda Unaweza tuma picha au video nikaverify
Back
Top Bottom