❗️Ndege za usafiri za kijeshi za Urusi ziliripotiwa kutua katika kambi kadhaa za jeshi la wanahewa nchini Iran katika siku kadhaa zilizopita.
Utawala wa ayatollah unaonekana kurejesha haraka vikosi vyake vya kijeshi baada ya pigo kubwa walilopata katika Operesheni ya Simba inayoinuka ya Israel...
Viongozi wa Kijeshi nchini Iran wamesema kuwa wanaona Israel ikijiandaa kuishambulia.
Iran imesema itahakikisha inalipiza kisasi mapema kuliko na ndani ya Msaa 48 Israel haitokuwepo.
Zaidi ya ndege 6 za kubeba mizigo za Kirusi zimetua katika Kambi kubwa ya kijeshi na kushusha silaha mbali mbali...
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo.
Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa.
Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother...
Hawa waarabu mpango wa greater Israel huu hai Netanyahu kawatonya tena wakae wakijua watafuatwa mmoja baada ya mwingine kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake kwenye ile greater Israel.
=====================
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anatazama hirizi inayoonyesha “ramani ya Nchi ya Ahadi,”...
Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE ilitoa taarifa kwa lugha kali ikilaani kabisa matamshi ya Netanyahu kuhusu “Greater Israel” ambayo yaliwezekana yakimaanisha kueneza eneo la Israel kuzidi mipaka yake iliyothibitishwa kimataifa. UAE ilisema matamshi hayo ni ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na...
Mkono mrefu wa Majeshi ya Israel unaendelea kuwabinya na kuwanyong’onyeza magaidi wa Hezbollah huko Lebanon baada ya kuanza kuwalenga popote walipo na kuwaangamiza.
Lebanon kusin sasa hivi limekuwa kaburi wazi kwa magaidi hao wa Hezbollah.
Seneta wa Marekani Lindsey Graham ameonya kuwa ikiwa Marekani itasitisha misaada kwa Israel, basi Mungu atailetea taifa hilo adhabu.
Akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya 58 ya “Silver Elephant Gala” huko South Carolina, Graham alisisitiza kuwa Israel ni mshirika wa karibu zaidi wa...
Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema.
Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
Ni nadra sana kushuhudia Piers Morgan akikubali mtazamo wa dunia ulio tofauti kabisa na msimamo wake. Piers Morgan, ambaye yeye mwenyewe ni mashine kali ya hoja na fikra, anajulikana kwa kuingilia hoja za wapinzani wake na mara nyingi kuzikatisha au kuzipangua vilivyo katika mijadala. Lakini...
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza
Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
Wanaukumbi.
Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza.
Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
Israel kuchukua udhibiti kamili wa kijeshi wa Gaza Netanyahu ameifanya kazi nzuri sana leo hii na atasababisha yafuatayo:
Hamas itaondolewa milele!!.
Hali ya ugaidi haitakuwapo tena.
Na kwa upande wa magaidi sasa hivi ni hofu tu.
Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mambo 7...
🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu:
Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas.
IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano.
Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
Wanaukumbi.
Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi".
Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel.
Mpango...
Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
Iran imetekeleza Jumatano hukumu ya kifo kwa kumnyonga mtu mmoja aliyepatikana na hatia ya kufanya ujasusi na kutoa taarifa kwa Israel.
Taarifa hizo ziliwezesha mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia aliyeuawa mwezi Juni wakati wa mashambulizi ya Israel dhidi ya Jamhuri hiyo ya Kiislamu.
Hayo...
Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon.
Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo.
Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo.
Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.