israel

  1. SINGULARITY

    Vitisho vya kufunga Straight Hormuz vikitekelezwa tunaweza kufa kwa Kiu ya Mafuta

    Analojia rahisi kwenye hili ni kufananisha Strait ya Hormuz kama mto mdogo wa kijijini ambao 30% ya maji tunapata hapo. Maji haya ndio kiungo muhimu katika shughuri za kila siku za kijiji chetu. Sasa, kuna bwana anyekaa huko kwenye chanzo cha mto aliweka bayana kabisa kuwa ataufunga mto kama...
  2. hamis77

    Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  3. A

    Israel inasema USA Kagusa gusa tu Nucler ya Iran

    Ujumbe huo tuliwambia USA ataenda adhirika hata Israel kakiri USA hakufanikiwa kuidestroyed Fawder Nuckear Plant kapiga badhi tu ya sehemu. Ujumbe nikwamba Fawder Nuclear Plant ni kiboko yao wameanza kusema ukweli wamefailed na MOP hamna kitu ni tikiti maji tu. Weldone Iran...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Jua mgogoro wa Iran vs Israel chanzo chake

    Mwaka 1950's alichaguliwa waziri mkuu wa iran aliyeitwa Mohammad Mosaddegh wakati wa kampeni aliahidi kurudisha umiliki wa visima vya mafuta mikononi mwa iran alivyoshinda alianza kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha visima vya mafuta vinabakia mikononi mwa irani hiki kitendo hakikuwafurahisha...
  5. Pearce

    Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
  6. Ashampoo burning

    Iran na Israel: Kutoka Mabest hadi Maadui wa Kuuana

    Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni. Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
  7. Megalodon

    Israel ni Overrated , na hawana Technology kubwa kama tunavyoamikishwa

    Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani. hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu pande zote 2. Ishu ni namna Israel wanavyojipambanua Chosen people of God, wana advanced tech kuzuia...
  8. Allen Kilewella

    Israel yapata miili mingine mitatu ya mateka huko Gaza!

    Shirika la habari la Associated Press (AP) limesema kuwa Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa limepata miili mitatu ya mateka wa Tukio la Oktaba 7 huko Gaza. Miili hiyo ambayo mmojawapo ni wa mwanajeshi, bado Jeshi hilo halijataja majina Yao!
  9. Komeo Lachuma

    Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  10. D

    Madhara ya shambulio la Iran kwa Israel leo

    Kwa bahati mbaya Iran wao hawaoneshi kinachotokea kwao. Sijui Wana Hali gani Wallah..!
  11. Matteo Vargas

    Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  12. K

    Usa is Israel and Israel is USA

    Hii kitu imetua penyewe, ukibisha wewe mjeuri.
  13. C

    Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

    Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za...
  14. matunduizi

    Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  16. MK254

    Israel yaanza kuwinda meli za kijeshi za Iran

    Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is striking drone storage facilities located at an Iranian naval base in Bandar Abbas, a strategic...
  17. Allen Kilewella

    Kitu gani unaweza kukisema kibaya au kizuri Kwa Israel au Iran bila kuweka mapenzi yako ya kidini?

    Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu nchi hizo mbili hasimu? 1. Maendeleo ya sayansi na teknolojia. 2. Mifumo ya kidemokrasia 3. Uhuru...
  18. A

    Israel Ameinua Mikono Hatuwezi Kuendelea Na Vita Bila Lengo Na Lengo Letu Si Kubadili Kiongozi Wa Iran

    Habari ya mjini ndio hio https://youtu.be/Zi_zcRCWIq8?si=EceJr5gN4HaAB4tI Iran pia kasema Dimona Nuclear inaweza kuwa target kutokana na vita inavyo kwenda.
  19. Khanji kapoor

    Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

    Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao...
  20. This is...

    Teheran inaenda kukaluwa na USA na ISRAEL kirahisi hata zaidi ya Gaza

    Haya maneno yangu yanaweza onekana kama yasiyo na mashiko. Ilichokitaka Israel na USA ni raia kuprotest against utawala wa AYATOLAH kitu ambacho tayari kinatokea. Marekana anaingia vitani sasa. Hifadhi maneno yangu.Iran haina muda kabla haikaangukia mikononi mwa Israel na USA km ikivyo Syria.
Back
Top Bottom