israel

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu huko UNGA itaonyeshwa Mubashara Gaza!

    Ofisi ya Waziri Mkuu imeiagiza IDF kuweka vipaza sauti kote Gaza ili kurusha moja kwa moja hotuba ya Umoja wa Mataifa ya Waziri Mkuu Netanyahu kwa wakazi wa eneo hilo hapo say 10 jioni ya leo! Channel 12 inaripoti kuwa maafisa wa kijeshi wanadaiwa kuelezea wasiwasi wao, wakionya kuwa hatua...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji wa Jioni hii wameenda kuwasalimia Wahouth huko Yemen!!!

    Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi. Taarifa Kamili tutazipata baada ya ndege-vita hizo kulejea nyumbani. Wahouth Wame Una ugomvi huo kutoka kwa...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ramaphosa azimiwa kipaza sauti baada ya kukosoa vikali Israel kuhusu vita Gaza

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amezimiwa kipaza sauti kwenye mkutano maalumu wa kujadili umuhimu wa kuanzishwa taifa huru la Palestina, baada ya kuelekeza mashambulizi dhidi ya Israel akidai inachofanya Gaza ni mauaji ya kimbari. Pia, alifananisha mateso ya Wapalestina wanayofanyiwa na...
  4. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania Canada, UK and Australia say they recognize a Palestinian state as part of efforts to pile pressure on Israel over Gaza

    Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”). This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty. 2...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Iran Inatisha Mpeni Pole Israel

    Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awalalamikia China, Qatar na Jamii ya Waislamu kuwa sababu ya Israel kutengwa

    Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms after global embargoes Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu speaks to members of a...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe Israel na Marekani walifanya kazi safi

    Niaje niaje..........katika hali ya kushangaza kumbe jamaa walihiti target vizuri tu bila papara ..............maneno yalikuwa meeengi kumbe kitu kimewaramba
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hezbollah yafanya parade ya wahanga wa tukio ya vilupuzi vya pagers ilioundwa na Israel

    BEEP.... BEEP.....🔥🔥
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hamas anavyowapelekea moto Israel

    Missiles zinashuka Ashkelon na Tela Aviv kama mvua. https://youtu.be/4QeJbAIIhxw?si=iuwG3z7yM8Y2Ewjz
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

    IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yazuia kombora la Yemen kuelekea Israel, likipita juu ya Madīnah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī

    Huu ndio ujirani Mwema, Saudi Arabia wamezuia makombora ya magaidi wa Yamen yaliyokuwa yakielekea Israel, Makombora hayo yalionekana yakipita juu ya mji wa Madinah karibu na msikiti Masjid an-Nabawī
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Israel ni mtawala wa Marekani au ni mshirika wa Marekani?

    Israel ni mtawala wa Marekani au ni mshirika wa Marekani ? Je, Waziri mkuu wa Israel ana nguvu kuliko Rais wa Marekani ?
  14. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Huu ubabe wa Israel kwenye kuteka anga za mataifa ya ukanda wote huo unatisha sana

    Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000 Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

    Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ile Oktoba 17 Israel ilishirikiana na Hamas wasio waaminifu kufanya ule Mtego

    Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu. Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yemen yalaani shambulio la Israel, yasema linakwamisha juhudi za Amani za Palestina

    Wanaendelea Kubweka. ISRAEL HACHEKI NA WOWOTE. ANAKUPIGIA POPOTE ANAPOTAKA. WAULIZENI IRAN WANAELEWA HILI JAMBO. Wizara ya mambo ya nje ya Yemen imesema kuwa shambulio la Israel “linadhoofisha juhudi za kikanda na kimataifa zinazolenga kumaliza vita dhidi ya wananchi wa Palestina” na...
Back
Top Bottom